Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Hii kali
Sema sio kesi amalizie mi5 apumzike maisha yaendelee,
Kama tumeweza ku survive kibishi hii mi5 haitotushinda iliyobakia,
#NambaTuliisomaSote
 
Hii nayo kali unaogopa kunyeshewa mvua wakati maji unakunywa na kuoga! Ya nini kuitisha uchaguzi lakini uziogope changamoto zake? Suala la amani liko palepale ikiwa tu uchaguzi utakuwa huru na haki bila udanganyifu
 
Mkuu amani haina masharti.

Amani inatakiwa iwepo bila ya masharti.

Mimi nalia na amani ya Nchi yangu.
 
Hongereni Maxence Melo looks like this is the only social network left on air
kwingine kote ni kimya au ni hatuna bundle sisi?

sawa CCM jmn
Ngja tubaki wapenzi watizamaji
 
Nchi za kidictetor siyo zenye democracy maana propaganda kila siku zinafanywa mbona hazileti tatizo lolote, na miaka yote tunafanya chaguzi mbona hizo propaganda za hivo hatujaziona
 
Nlitaka Ni restore kumbe ni tatzo kwa wote daah ase inaskitisha
 
Ndiyo maana kesho mimi na familia yangu tunaenda kuchagua, UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU. ILA HAWAJUI SISI TUNA AKILI. WAKISHIKA HUKU TINASHIKA KULE. WANAZUIA MATOKEO YAZIRUSHWE KWA WHATSAPP NA PICHA. POLE ZAO YATARUSHWA KAMA KAWA. DUNIA NI KIJIJI.
 
Amaa hakika leo mume na mke tutakuwa tuna tazamana usoni na hata tamthilia leo mababa rutaangalia.
 
Back
Top Bottom