Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Hiki kifanacho wanatapatapa kukipiga chini kudadeki
Screenshot_20201027-193249.jpg
 
Leo nimejaribu kuingia twitter lakini naona ina load tuu wala haifunguki. Hili tatizo lipo kwangu tu au kwa maana kuna mtu nimeona uzi wake analalamika Youtube pia haifunguki. What's wrong?!
Security purposes during an on going General Election.
 
Koma na hasira zako...Nchi hii iko vizuri ...kesho naenda kumpa JPM asibuhi na mapemaaaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: len
Naamin hi ishara mojawapo ya kushindwa kwa chama tawala na wanatafuta njia za kutuzuia tusiwaliane ila kesho tunaenda watoa Ikulu.
 
Wanazidi kulikoroga, hiyo ni dalili ya kushindwa, hata hivyo wamechelewa
 
Utanyooka tu wewe mbw..?!!
Wasted spems

Jamaa ni Bora ukae kimya kweli unatuumiza sana yaan ni Bora ukae kimya tu

Watu biashara zimekua shida tangu asubuhi afu mnaleta Mambo ya kushamba
 
Back
Top Bottom