Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?

Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-

1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.

2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.

Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.

Ahsante.
 
Nakusapoti kwa asilimia mia moja. Ninashauri kwa vile uchaguzi mkuu umebaki miezi michache kufanyika basi utakapomalizika basi kuandikwa kwa Katiba mpya na kuundwa kwa Tume Huru uanze mara moja. Kama ulivyosema kuwa wapiga kura watakuwa wachache sana kwenye uchaguzi mkuu ujao ni kweli. Kutokana na yanayoendelea sasa hivi uchaguzi ujao watu wachache watajitokeza na hii inaweza kuwa dosari kwa Serikali itakayoingia madarakani.
 
Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?

Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-

1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.

2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.

Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.

Ahsante.
this is the most useless and completely nonsense article of the day gentleman, dah !🐒
 
Tunaenda na Chaumma
Unawezaje kuiambia Dunia yenye watu wenye akili timamu kwamba CHAUMA ni chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA?
Kwa uelewa wangu ni kwamba, hadhi ya kuitwa chama kikuu cha upinzani inatokana na uchaguzi Mkuu uliopita kabla ya huo unaofanyika mwaka husika.

Lakini pia, kwa haya yanayoendelea utamdanganya nani kwamba siyo jitihada za kufifisha wapinzani wakuu?
 
IMG_20250510_165358.jpg
 
Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?

Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-

1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.

2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.

Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.

Ahsante.
Hata asipogombea Tundu Kuna Dorothy Semu wa ACT atawapelekesha vilivyo. watashangaa. ni bora kupata mgombea mzuri
 
Hapo na 2 umepiga penyewe, yaani CCM wako radhi uchaguzi ukose uhalali kwa kulazimisha Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika, hii ni ajabu kabisa.
 
Itakuwa utaahira mkubwa sana hata kwa mwanaccm kwenda kupiga kura wakati imeshapangwa kuwa wagombea wote wa CCM watatangazwa kushinda kwa 99%.
 
Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?

Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-

1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.

2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.

Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.

Ahsante.
Labda wampitishe Mzee Warioba maana yeye anajua kinachohitajika kwa nyakati hizi(REFORMS)😄
 
CCM endeleeni na uchaguzi wenu wa maigizo, mjichague mjiibie kura nyie wenyewe
maigizo ya uchaguzi matokeo yake ni kupata viongozi batili
 
Back
Top Bottom