No Reforms, No elections. Mtaelewa tuTunaenda na Chaumma
this is the most useless and completely nonsense article of the day gentleman, dah !🐒Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?
Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-
1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.
2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.
Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.
Ahsante.
this is nonsense article of the day 🐒
Unawezaje kuiambia Dunia yenye watu wenye akili timamu kwamba CHAUMA ni chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA?Tunaenda na Chaumma
Hata asipogombea Tundu Kuna Dorothy Semu wa ACT atawapelekesha vilivyo. watashangaa. ni bora kupata mgombea mzuriNi muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?
Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-
1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.
2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.
Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.
Ahsante.
Nilikuwa tuu Mzee wa ubatili!this is the most useless and completely nonsense article of the day gentleman, dah !🐒
Wamepanga kutumia CHAKUUMA kuiba uchaguziKuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.
Haitasaidia kitu, kwa sababu chama kikuu cha upinzani kinafahamika.Wamepanga kutumia CHAKUUMA kuiba uchaguzi
Hapo na 2 umepiga penyewe, yaani CCM wako radhi uchaguzi ukose uhalali kwa kulazimisha Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika, hii ni ajabu kabisa.Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?
Kwa sababu hiyo basi, naomba kutoa maoni yafuatayo:-
1. Kwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaweza kukosa uhalali kitaifa na kimataifa ikiwa utafanyika bila kuwa na chama kikuu cha upinzani(CHADEMA), nadhani viongozi wetu wangeona umuhimu wa kumwachilia huru Tundu Lissu na kuingia kwenye mazungumzo yatayofanya vyama vyote kushiriki uchaguzi Mkuu.
2. Kama hofu ni kwamba, Tundu Lissu akigombea atakuwa na nguvu kuliko mgombea wetu, kwa nini watu wa CCM tusikubali kuvaa ujasiri na kutafuta mgombea mwingine ambaye atakuwa na nguvu zaidi kuliko Tundu Lissu? Mbona CCM mna watu wengi tu wenye mvuto na wenye uwezo wa kushindana na Tundu Lissu kwenye ulingo wa siasa?. Nasisitiza, tafuteni mtu mwenye mvuto kwa Watanzania.
Tukifanya hivi tutakuwa tumepunguza sana mivutano isiyo ya lazima ndani na nje ya Nchi yetu.
Ahsante.
Labda wampitishe Mzee Warioba maana yeye anajua kinachohitajika kwa nyakati hizi(REFORMS)😄Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike hata 5000, basi , ni muhimu kuwasikiliza Watanzania wenyewe wanataka Kiongozi wa namna gani ajaye?