Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo.

Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
 
Kuna mwaka 😄😀😄😀 waliongezewa elf 4 walah hii serikal mungu anawaona
Sawa mnawaongeza ni kias gan? Unawaongeza halafu makato bado yanasoma mbaya mno Bora muwapunguzie makato yasiyo na ulazima/ umuhimu sana
 
Wanaongeza kwa watumishi wa uma wote
Na kapandisha madaraja kwa watumishi wa uma wote kwa miaka yake kiduchu
Kama una agenda na waalimu we wachane live sio kujificha ficha
 
Kwa Taarifa yako mwalimu hayumo kwenye kundi la kima cha chini
 
Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo.

Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
Kwahiyo watumishi wa umma ni walimu tuu?
 
Wameongeza mishahara ya watumishi wote au waalimu? Kuna watu Wana Vita na waalimu isiyokwisha
 
Back
Top Bottom