Kwahiyo watumishi wa umma ni walimu tuu?Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo.
Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.