matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mkuu...Udikteta Tanzania umefeli..tujaribu njia nyingine.
Ujamaa ni promotion ya uvivu na kitegeanaPia ujamaa tuutazame upya
Ujamaa ni promotion ya uvivu na kitegeana
Vifutwe vinataka kutulete vurugu.demokrasia ya chama kimoja ndio iimarishweTusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi.
Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa.
Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama kimoja chini ya Mao na Ikawa Tajiri chini ya chama hichohicho kimoja chini ya Deng Xioping.
Kuna Singapole iliyotajirika kwa kasi chini ya dikteta mzalendo Lee Kuan Yew.
Kuna marekani ambayo imeendelea kwa mifumo imara ya kidemokrasia. Mifumo ambayo tofauti na kwetu haihitaji uwe mwanaCCM ili utajiri wako udumu. Mtu yeyote wakati wowote bila hata kujihusisha na Siasa anaweza kuwa chochote.
Hili wasomi watusaidie kuwatoa watu matumaini bandia kuwa nchi hii itaedelea kwa kuwa na usawa wa kidemokrasia na mabadiliko ya kisiasa.
Kuna walioendelea kwa kuwa na
Mila na desturi nzuri
Kidikteta
Kidemokraisia
Kidini
Kifalme
Etc
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Hata hivi bado nchi inaweza kuendelea. Ila sio lazima kiwe CCM kinaweza kuwa kimoja CHAUMA. Maana CCM imepewa miaka zaidi ya 50 lakini mwendo wa maendeleo ni konokpno. Wanatakiwa wahojiwe wamejpangaje ku9ngeza kasiVifutwe vinataka kutulete vurugu.demokrasia ya chama kimoja ndio iimarishwe
No reform no electionTusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi.
Demokrasia ya chama kimoja ilishindwa ndio maana ikaletwa ya vyama vingi, ni ngumu sana kujichunga lazima uwe na mbadala pembeni, utaona watawala ni woga sana hawataki mawazo mbadala.Vifutwe vinataka kutulete vurugu.demokrasia ya chama kimoja ndio iimarishwe
Haijawahi shindwa Bali ilikuwa ni shinikizo la West Ili kupata hela baada ya majanga ya kiuchumi ikiwemo vita.Demokrasia ya chama kimoja ilishindwa ndio maana ikaletwa ya vyama vingi, ni ngumu sana kujichunga lazima uwe na mbadala pembeni, utaona watawala ni woga sana hawataki mawazo mbadala.
Hakuna sababu ya msingi ya kuwa na Vyama vingi,tuwe tuu kama China.Centric democracy
Hiyo ilishagoma toka mwanzo.Hakuna sababu ya msingi ya kuwa na Vyama vingi,tuwe tuu kama China.
Haikushindwa. Sera za uchumi ndiyo zilishindwa.Demokrasia ya chama kimoja ilishindwa ndio maana ikaletwa ya vyama vingi, ni ngumu sana kujichunga lazima uwe na mbadala pembeni, utaona watawala ni woga sana hawataki mawazo mbadala.