Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu kaa tayari kupambana na mimi .Dr Tulia wa Rungwe anakuja Kyela kufanya nn?
Akija huyu natangazwa nimeshinda saa 2 asubuhi
Dr Tulia is too weak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kaa tayari kupambana na mimi .Dr Tulia wa Rungwe anakuja Kyela kufanya nn?
Akija huyu natangazwa nimeshinda saa 2 asubuhi
Dr Tulia is too weak
Usipoelewa sasa utaelewa baadae..Ndio nafahamu ni rafiki mkubwa wa Hapi lakini sifa ya usaliti umewapa wewe, sijui kwa dhumuni gan ulilonalo kwa ndugu hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yangu Ally Maswanya alipo gomea uteuzi wa Rais Magufuli kuwa DC Mbozi kulifanya mheshimiwa achukie sana.
Hata akishinda kura za maoni Urambo hawezi pitishwa na Magufuli kwa kisingizo cha kakosa maadili
kwao ni GowekoHuyo jamaa ni nani na anaishi wapi, na kwao wapi? mkuu
Sawa mkuu inaonekana huyu mtu unamfahamu...naomba mfikishie salamu zangu kuwa namtafuta nimpe salam zake kutoka kwa wananchiUsipoelewa sasa utaelewa baadae..
Mbona unapanick? Na kule TLS alitumwa na nani? Mwenyewe alikuwa anasema ametumwa!!!Mkuu mbona una dalili za kuchafua watu aisee...Jamaa hawez kuwa na tabia hizo sema kabarikiwa sana kuwa kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta kazi ya kufanya mkuu. huu ukibaraka siyo mzuriAmani iwe kwenu!!
Huyu dada mhe! Amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020.
Hizo habari za kutunga mkuu achana nazoMbona unapanick? Na kule TLS alitumwa na nani? Mwenyewe alikuwa anasema ametumwa!!!
hivi kwani bado anania hiyo..? si bora abaki kwenye Ajira yake huko huko au akapige magoti kwa MzeeRafiki yangu Ally Maswanya alipo gomea uteuzi wa Rais Magufuli kuwa DC Mbozi kulifanya mheshimiwa achukie sana.
Hata akishinda kura za maoni Urambo hawezi pitishwa na Magufuli kwa kisingizo cha kakosa maadili
Namshauri Magufuli afute uchaguzi pesa za uchaguzi zikawajengee barabara nchi jirani ya Kigoma angalau nao waunganishwe na TanzaniaAmeanza kampeni mapema mpeni kura muone km mtamuona, ila watu wa Mbeya jinsi walivyo na msimamo sidhani km atachukua Ubunge.
Ally kazi yake kwa sasa ni NONO sana hawezi wania Ubunge ambao sasa hauna deal kwa sababu Rais wa TZ ndiye pia muamuzi wa mwisho kuhusu posho za wabunge na akaamua kakata posho kibao za kusafiri.za wabunge.hivi kwani bado anania hiyo..? si bora abaki kwenye Ajira yake huko huko au akapige magoti kwa Mzee
Mkuu, Kiongozi wa Kitaifa hapimwi kwa maendeleo ya jimboni kwake tuu bali ni ya Kitaifa kwa Ujumla wake!!!! Hii dhana unayoongea labda iwe imejitokeza zaidi awamu hii, enzi za Mwl, Nyerere, Mwinyi Mkapa na Kikwete halikuwepo. Fanya utafiti,nenda majimboni mwao!We ulishaenda jimbon kwake Monduli ukaona hali ya maendeleo ya jimbo lake? Nenda kaone ili uweze kujua kuwa yule jamaa hovyo kabisa yule.
Sent using Jamii Forums mobile app