Barabarani tena?Au umetoka America,u mgeni hapa?
Hakika utaacha askari wetu waaminifu,wakushughulikie wewe na wenzio hukohuko barabarani.
Watapanda vyeo,kupitia wewe na watakaokuunga mkono,refer... Kingai.Tunatambua kuwa barabarani ndiko kuliko na mwisho wa matatizo yetu. Panga pangua mwishowe tutaonana barabarani.
"Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir."
Habari ndiyo hiyo.
Halafu atakuja mtu kuomba nafasi ya juu!! Mtuache twende na mbadala.Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki.
Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya.
Kwamba haya yakiendelea ninyi mnakata tozo kama vile hamna akili nzuri? Hii ni dharau kiasi gani kwetu?
Au Hadi mkutane nasi mabarabarani ndipo mtaelewa nini tunataka?
Tambueni tutazidai pesa zetu retrospectively.
Wizi wenu usio waathiri nyie hatutauridhia kamwe.
Habari ndiyo hiyo.
Wazo mujarabu sana, na watambue kibali cha Maandamo ya amani tutakuwa nacho.Au Hadi mkutane nasi mabarabarani ndipo mtaelewa nini tunataka?
Watapanda vyeo,kupitia wewe na watakaokuunga mkono,refer... Kingai.
Halafu atakuja mtu kuomba nafasi ya juu!! Mtuache twende na mbadala.
Yes tozo inaumiza na kwa mazuzu wataishia kulalama humu kwenye soft landing, serikali hii ni ya CCM na ni ccm waliotoa hizi tozo ,sasa hapo nani kaambiwa na nani kasikiliza, minister Nchemba ni msimamizi tu ila hii tozo imetokana na collectively decision ya cabinet, never minister Nchemba angekurupuka na tozo, barabarani mmmmm kwa dot.com hawa it's a No
Kamua Guru kamua hadi makamanda Chadema wateme nyongo...hahaha! Sisi wa kijani tozo hazituhusu.