Kuendelea na ukataji tozo bila muafaka ni dharau kwa wananchi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki.

Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya.

Kwamba haya yakiendelea ninyi mnakata tozo kama vile hamna akili nzuri? Hii ni dharau kiasi gani kwetu?

Au hadi mkutane nasi mabarabarani ndipo mtaelewa nini tunataka?

Tambueni tutazidai pesa zetu retrospectively.

Wizi wenu usio waathiri nyie hatutauridhia kamwe.

Habari ndiyo hiyo.
 
Barabarani tena?Au umetoka America, u mgeni hapa?

Hakika utaacha askari wetu waaminifu, wakushughulikie wewe na wenzio hukohuko barabarani.
 
Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki.

Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya.

Kwamba haya yakiendelea ninyi mnakata tozo kama vile hamna akili nzuri? Hii ni dharau kiasi gani kwetu?

Au Hadi mkutane nasi mabarabarani ndipo mtaelewa nini tunataka?

Tambueni tutazidai pesa zetu retrospectively.

Wizi wenu usio waathiri nyie hatutauridhia kamwe.

Habari ndiyo hiyo.
Halafu atakuja mtu kuomba nafasi ya juu!! Mtuache twende na mbadala.
 
Ukweli mzuri sana.
Ila ni muda tu utasema kwa kuwa wamezidi kuchukulia kila kitu sawa
 
Yes tozo inaumiza na kwa mazuzu wataishia kulalama humu kwenye soft landing, serikali hii ni ya CCM na ni ccm waliotoa hizi tozo ,sasa hapo nani kaambiwa na nani kasikiliza, minister Nchemba ni msimamizi tu ila hii tozo imetokana na collectively decision ya cabinet, never minister Nchemba angekurupuka na tozo, barabarani mmmmm kwa dot.com hawa it's a No
 
Watapanda vyeo,kupitia wewe na watakaokuunga mkono,refer... Kingai.

Kuvunjika mkono tu? Anasema Bob Marley (RIP):

IMG_20220910_185134_951.jpg

“Better to die fighting for your freedom than to be a prisoner all the days of your life.”
 
Halafu atakuja mtu kuomba nafasi ya juu!! Mtuache twende na mbadala.

Kumbuka bila IEBC ya Chebukati na Mahakama Koome mbadala haupo.

Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
 
Yes tozo inaumiza na kwa mazuzu wataishia kulalama humu kwenye soft landing, serikali hii ni ya CCM na ni ccm waliotoa hizi tozo ,sasa hapo nani kaambiwa na nani kasikiliza, minister Nchemba ni msimamizi tu ila hii tozo imetokana na collectively decision ya cabinet, never minister Nchemba angekurupuka na tozo, barabarani mmmmm kwa dot.com hawa it's a No

Mkuu hakuna asiyemjua mwenye lake jambo kwenye kadhia hii na hata katika nyingi nyingine. Kwani hukuwahi kusikia samaki kukaangwa kwa mafuta yake mwenyewe?
 
Back
Top Bottom