msomi duni
Member
- Apr 11, 2024
- 90
- 301
Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia.
Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama, na mjue kundi la bodaboda linaundwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo wenye ma degree msichukulie poa poa ajira hakuna acheni kuwasimanga kama mtu akipata ajali huwezi kumsaidia kaa kushoto wanaoweza wamsaidie toa camera yako kawarecord akina Makonda na wadudu.