Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia.

Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama, na mjue kundi la bodaboda linaundwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo wenye ma degree msichukulie poa poa ajira hakuna acheni kuwasimanga kama mtu akipata ajali huwezi kumsaidia kaa kushoto wanaoweza wamsaidie toa camera yako kawarecord akina Makonda na wadudu.​
Sasa ndio wakubali kuitwa wadudu??
 
Ukiona mtu anakimbiza pikikipi ujue huyo ni chizi. wako machizi wengi tu. cha kushangaza utaona mteja anaona kabisa boda anayemkodi anaonekana chizi kabisaa lakini unamkodi! muwe mnaangalia machizi yanajulikana.
Huu ndio ukweli
 
Hoja bodabado kaka uko ni mbali hivi kwa mwezi wanakufa afisa usafirishaji wengi ujiulizi kwa nini mkuu
Unajua wengi wanafanya hii kazi kwa kukosa option ivo wanaingia bila kujifunza sheria za barabarani ndio maana asilimia kubwa hawana elimu ya udereva na hawana leseni serikali inabidi iwasaidie kwa hilo kuwaelimisha sio kuilaanisha Io kazi na kuwafanya kitega uchumi cha maaskari
 
Hapa naunga mkono hoja ila wasiiifanye ndio iwe kazi Yao ya kudumu itaishia kuwaumiza sana vijana
 
Boda wanaojitambua wana maisha yao safi tu na hawakai hata vijiweni,ni simu tu inaita muda wote.

Barabarani nidhamu ya hali ya juu,wana familia na majukumu wengine viongozi huko mitaani kwao na hata kanisani kwao.

Ni wachache ila wapo,hao wengine sasa ambao ni zaidi ya 98% wamefanya wote waonekane wajinga hata uendeshe na Ph.D yako!
 
Mkuu boda nikazi kama kazi yoyote,isipo wale watu wanaojiita kwamba wana magari hao ndio wamehalibu au kuchafua sura ya bodaboda.
Kitendo chakumuua boda na ilihali uliweza kumkwepa nichakinyama sana na inabidi kikemewe vikali sana.
Hatu katai kwamba vijana wengi bangi mdawote kichwani+ mzika mnene volume ya mwisho.
SWALI NDIO MUWAUE MAKUSUDI??
 
Kwa nini bodaboda tu ndiyo wanafanyiwa vile na si waendesha bajaji?
 
Boda wanaojitambua wana maisha yao safi tu na hawakai hata vijiweni,ni simu tu inaita muda wote.

Barabarani nidhamu ya hali ya juu,wana familia na majukumu wengine viongozi huko mitaani kwao na hata kanisani kwao.

Ni wachache ila wapo,hao wengine sasa ambao ni zaidi ya 98% wamefanya wote waonekane wajinga hata uendeshe na Ph.D yako!
Unajua nidhamu yako barabarani itakutofautisha na madereva wajinga
 
Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama,​
What do you mean by that sentence? Naomba nifahamu maana ya hiyo sentensi then nichangie.
 
Back
Top Bottom