Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

Wanakuwaga na tabia za kihuni mno.

Ingawa kuna waaminifu ambao ni wachache sana ila wahalifu wengi wamejificha humo kwenye hiyo kazi.

Wanapora watu na kuwaumiza.
Kweli na hao ndio wanachafua sifa ya wachache wenye weledi na kazi
 
Changamoto tafadhali
Zipo nyingi mzee boda boda boda wanawindwa kama swala porini lengo ni kuibiwa pikipiki bado dhulma kwa wateja mf mtu unampeleka kwake Mida mibovu anakuambia nisubiri hapa nakuletea nauli anapita mlango wa nyuma anapotea
 
 
Back
Top Bottom