Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

Hiyo ni kazi ya laana tu matatizo ya kujitafutia kuvunjika miguu na mabega mlivyo wajeuri skuizi mnaendesha na mziki juuuuu yaani ukiona mtu anaisifia hii kazi hayupo sawa kwenye ubongo
Sio kweli mkuu, kazi za laana ni wizi, umalaya, ulaghai n.k ila sio bodaboda. Hawa jamaa wanatafuta mkate kwa haki kabisa sema wengi wao hawana leseni ya udereva, ni wavuta bangi, malaya na wachache hushirikiana na wezi. Ila ni kazi nzuri mtu akiwa anajitafuta akiwa makini na kumuomba Mungu
 
Kuwemi na discipline basi muwapo barabarani. Pia acheni watoto washule wasome, mnashindwa hata kuwahonga wakubwa wenzenu. Ila endeleeni kuwapa tu lift wake zetu mnajiona wajanja Sana eee. Yaan mabwana wa wake zetu mnawajua kuliko mnavyozisaka pesa🤣🤣
 
Muwe mnawapa nauli ili wasipewe lift
 
Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia.

Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama, na mjue kundi la bodaboda linaundwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo wenye ma degree msichukulie poa poa ajira hakuna acheni kuwasimanga kama mtu akipata ajali huwezi kumsaidia kaa kushoto wanaoweza wamsaidie toa camera yako kawarecord akina Makonda na wadudu.​
Ikifanyika kwa akili,weledi na kuheshimu sheria za barabarani ni kazi nzuri tu. Yupo bodaboda namtumia kwa delivery anaingiza hela nyingi sana kwa siku.
 
Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia.

Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama, na mjue kundi la bodaboda linaundwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo wenye ma degree msichukulie poa poa ajira hakuna acheni kuwasimanga kama mtu akipata ajali huwezi kumsaidia kaa kushoto wanaoweza wamsaidie toa camera yako kawarecord akina Makonda na wadudu.​
Sidhani kama bodaboda ni kazi kama zingine. Ile ni hatari zaidi, kazi kidogo
 
Hujiulizi kwanini nchi zinazojielewa hamna huo ujinga wa boda boda?
 
Wanakuwaga na tabia za kihuni mno.

Ingawa kuna waaminifu ambao ni wachache sana ila wahalifu wengi wamejificha humo kwenye hiyo kazi.

Wanapora watu na kuwaumiza.
 
Back
Top Bottom