clemsha789
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 198
- 335
Sio kweli mkuu, kazi za laana ni wizi, umalaya, ulaghai n.k ila sio bodaboda. Hawa jamaa wanatafuta mkate kwa haki kabisa sema wengi wao hawana leseni ya udereva, ni wavuta bangi, malaya na wachache hushirikiana na wezi. Ila ni kazi nzuri mtu akiwa anajitafuta akiwa makini na kumuomba MunguHiyo ni kazi ya laana tu matatizo ya kujitafutia kuvunjika miguu na mabega mlivyo wajeuri skuizi mnaendesha na mziki juuuuu yaani ukiona mtu anaisifia hii kazi hayupo sawa kwenye ubongo
Sawa nimeelewa kumbe Mama yako ana gubu, mnafiki na anakusimanga. Pole sana.Kiki vipi
Maneno hayo ni umama, Yamejaa Gubu, unafiki na masimango
Ilimradi usikose cha kuandika sawaSawa nimeelewa kumbe Mama yako ana gubu, mnafiki na anakusimanga. Pole sana.
Muwe mnawapa nauli ili wasipewe liftKuwemi na discipline basi muwapo barabarani. Pia acheni watoto washule wasome, mnashindwa hata kuwahonga wakubwa wenzenu. Ila endeleeni kuwapa tu lift wake zetu mnajiona wajanja Sana eee. Yaan mabwana wa wake zetu mnawajua kuliko mnavyozisaka pesa🤣🤣
Kuna niniumeona kilichomtokea boda boda mwanza leo
Aaah jamani….ko wafanye kazi gani sasa?Hiyo ni kazi ya laana tu matatizo ya kujitafutia kuvunjika miguu na mabega mlivyo wajeuri skuizi mnaendesha na mziki juuuuu yaani ukiona mtu anaisifia hii kazi hayupo sawa kwenye ubongo
Kazi zipo nyingi tu hii wasiifanye hii kazi iwe ya kudumu kwenye maisha Yao itaishia kuwaumiza viungo vya miiili YaoAaah jamani….ko wafanye kazi gani sasa?
OkayKazi zipo nyingi tu hii wasiifanye hii kazi iwe ya kudumu kwenye maisha Yao itaishia kuwaumiza viungo vya miiili Yao
Ikifanyika kwa akili,weledi na kuheshimu sheria za barabarani ni kazi nzuri tu. Yupo bodaboda namtumia kwa delivery anaingiza hela nyingi sana kwa siku.Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia.
Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama, na mjue kundi la bodaboda linaundwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo wenye ma degree msichukulie poa poa ajira hakuna acheni kuwasimanga kama mtu akipata ajali huwezi kumsaidia kaa kushoto wanaoweza wamsaidie toa camera yako kawarecord akina Makonda na wadudu.
Sidhani kama bodaboda ni kazi kama zingine. Ile ni hatari zaidi, kazi kidogoBila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia.
Maswala ya kuona mtu kapata ajali mnaanza ooh tuliwaambia hawajasikia mara ooh bodaboda ndio kawaida yao ni umama, na mjue kundi la bodaboda linaundwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo wenye ma degree msichukulie poa poa ajira hakuna acheni kuwasimanga kama mtu akipata ajali huwezi kumsaidia kaa kushoto wanaoweza wamsaidie toa camera yako kawarecord akina Makonda na wadudu.
Changamoto tafadhaliMimi sio afisa usafirishaji ila nimewahi kufanya hiki kazi tena hadi nlkua nakesha mitaa ya bamaga... Ni kazi yenye changamoto sana sio rahisi kama watu wanavoichukulia
Kweli lo Kazi ni kazi ilimradi iwe halali!