Zipo nyingi mzee boda boda boda wanawindwa kama swala porini lengo ni kuibiwa pikipiki bado dhulma kwa wateja mf mtu unampeleka kwake Mida mibovu anakuambia nisubiri hapa nakuletea nauli anapita mlango wa nyuma anapotea
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua dereva katika moto.