Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sijui kwanini mataga wengi ni short sighted au ndio madhara ya elimu inayotolewa na serikali ya ccm kama alivyosema Rais Lissu.Pumbavu sana huyo jamaa, anadhani akiimba mapambio ya wadhalimu ndo basi tena yupo salama... very stupid!
Hii ni kauli ya kipuuzi
Wtz wa bara ni mapoyoyo especially Dsm,mnachowaza nyinyi ni simba na yanga,ujinga wa shilole na bongo move mbadilikeHuko lazima kinuke ila kwa hofu, wanaweza kurudisha walioenguliwa.
Safari hii itakuwa ni zaidi ya yaliyotokea 2001.
Kinachokera ni hawa watu kufanya uhuni na hujuma za wazi kabisa alafu bado wanawaletea watu Kejeli,dharau na kiburi kisa tu ulevi unaotakana na madaraka na kujisahau.
Chochote kitachotokea Zanzibar kitakuwa na athari kisiasa na huku Bara maana foul zinazofanywa huko ni sawa na yanayoendelea huku Bara.
Ngoja tuone jueri yao itaishia wapi.
Maalimu Seif anamalizia: "... Sasa imetosha, liwalo na liwe. Wito wangu, wananchi kuweni tayari wakati wowote"!Huu ndio msimamo wa Maalim Seif juu ya kuenguliwa wagombea wa ACT Wazalendo - YouTube
Watuambukize na sis watu wa Bara huo ujasiri wao.wapemba nawaaminia walikinukisha 2001 wakapata serikali ya mseto mwaka huu wakikinukisha vizuri watapata uhuru wa nchi yao.
Na mtaji mkubwa wa JPM ni hili jeshi kubwa la wajinga lililopo nyuma yake.Sijui kwanini mataga wengi ni short sighted au ndio madhara ya elimu inayotolewa na serikali ya ccm kama alivyosema Rais Lissu.
Kipindi Serikali inasisitiza amani, naomba ikumbuke kusisitiza pia haki, halikadhalika jeshi la polisi na tume ya uchaguzi, mnasisitiza amani itawale katika nchi yetu lakini mnasahau kusisitiza pia haki itawale, haya yanayoenda kutokea pemba kiukweli Mwenyezimungu atuepushe viongozi mliopewa dhamana ya kutuongoza mkumbuke wajibu wenu nikutenda haki, kisha amani itatamalaki yenyewe bila hata kuisisitiza.
Angalia video ,ndipo tulipofika huku.
View attachment 1552499
DuhWtz wa bara ni mapoyoyo especially Dsm,mnachowaza nyinyi ni simba na yanga,ujinga wa shilole na bongo move mbadilike
Wapemba wakisema hawarudi nyuma siyo nyinyi ccm muwazulumu watu halafu mujifiche kwenye nyumba ya siroHuyo muongeaji ACT wampe ulinzi asije akajiteka kama Abdul Nondo.
Huyu ni moja tu tena Maneno ya majukwaani tu, kuna asiye penda Maisha?Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.
Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? —aaah wakubwa, oneni aibu
Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.
Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!
View attachment 1552518
Sema mkuranga kwao Hussein mwinyi halafu mwamleta Zanzibar apewe uraisiWanawachokoza wamarekani September 11 ni siku ya magaidi duniani ambayo huitumia kufanya ugaidi na ndio siku Twin tower Marekani ziliangushwa na magaidi ambapi mmoja wa magaidi anayeshikiliwa Marekani ni mpemba aliyelipua ubalozi wa Marekani Tanzania
Hilo tangazo la Sept 11 limeiweka ACT wazalendo pabaya kwenye Rada za kimataifa kuwa Ni chama Cha kigaidi tayari
Tarehe hiyo huyo kijana hajatamka kwa bahati mbaya Ni mmoja wa magaidi aliyetoroka kipindi Cha operation ya kupambana na ugaidi kule mkurabga,Kibiti na Rufiji pia alionekana Msumbiji huyo ambako katokea kule karibuni.Vyombo vya dola kamateni huyo ni kamanda kule Msumbiji anayesumbua serikali ya kule
Wapemba duniani kote wako wapemba wako London tena wana mtaa hasa na wapemba kwa kutafuta maisha njee ya Tanzania wako wengi na wapemba walioko ulaya hauzi karanga wala maji ya kandoroHuyu ni moja tu tena Maneno ya majukwaani tu, kuna asiye penda Maisha?
Wapemba wenyewe wapo Bara na Biashara zao , halafu wewe unataka watoke kwenye Muungano??? Usiwachuuze wenzio
Wewe unajivunia SMG iliyonunuliwa kwa Kodi za haohao unaowadhihaki,unajivunia magwanda,mabuti na mkanda ulionunuliwa na Kodi za hao unaowadhihaki,hata hayo mafunzo uliyonayo Ni Kodi zao,mshahara unaolipwa Ni Kodi zao.Mashujaa wa nyuma ya keyboard
Hata wao wamechokwaKatika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.
Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? —aaah wakubwa, oneni aibu
Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.
Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!
View attachment 1552518