Uchaguzi 2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

Lakini walidhibitiwa.kumbe unajua kudhibitiwa lazima mdhibitiwe.sasa hapo mwenye hasara ni selikari au ninyi raia.nakushauli na wewe usiache kwenda.ili siku nyingine usituletee vitisho vya kipumbafu
Hata Mkapa aliwadhibiti, lakini baadae alikuja kuwaomba msamaha nakujutia kutoa amri yakuua raia wasio na hatia, lakini hata yeye hajaishi milele.
 
Sasa wewe unataka kutufundisha sisi wasukuma kipi.yaani MTU wa ujaruoni wa Kenya aje atuendeshe cc watu wa mwanza .kila siku maandamano.tukaona upumbafu mtupu.tukatupilia mbali.hapo hapo unawakubali wapemba na wewe si mpemba watakuchokonoa.angalia sana
 
Sasa bara inaingilianaje na Zanzibar.watatulizwa tuuu.jipe muda
 
Jiue hata leo unachelewa.Umekosa kazi hadi ???
 
Haki huja baada ya sheria na sio baada ya kusimama juu ya meza. Kumuengua aliyeshindwa kujaza fomu na kumpitisha aliyeweza kujaza fomu ndiyo haki yenyewe kwasababu ni baada ya sheria. Wananchi wenzangu msipumbazwe mkapumbazika,wakati wa uchaguzi s/m walikosea kujaza fomu kwa awamu hii lazima wangeandaliwa watu wa kuhakikisha makosa yale hayajirudii. Waangalie wakongwe wa upinzani mbona wao wamejaza kwa usahihi! Jibu ni moja tu, kuna watu wamegombea kupitia vyama visivyo wahitaji kiviiiiile.




MAGUFULI4LIFE.
 
Lakini walidhibitiwa.kumbe unajua kudhibitiwa lazima mdhibitiwe.sasa hapo mwenye hasara ni selikari au ninyi raia.nakushauli na wewe usiache kwenda.ili siku nyingine usituletee vitisho vya kipumbafu
Mwenye hasara niserikali, au hufaham Kama Serikali ikipoteza raia wake nihasara?. Unajua nifamilia ngapi zenye chuki na Serikali kisa maafa Yale?. Huwezi jiuliza hao wanaopanga kuandika wosia, yawezekana wapo miongoni mw watoto walioshuhudia maafa ya yale ya 2001.Unajua haya yakiendelea nini kitakachatokea?.

Ndugu fujo zikishatokea hutoulizwa Kama wewe ni ccm au Cuf au ACT au CDM ndio maana wanasema tutalia wote, ili kuyaepuka hayo himiza Serikali pamoja na time itende haki kwa kila chama.
 
Kwahio haya hayakutokea kipindi cha kikwete hizo sheria hazikuwepo?.

Wewe jidanganye MAGUFULI4LIFE, wakati wewe nimlalahoi kama mimi ,fujo zikitokea hutoulizwa wewe nichama gani.
 
Wapigwe tu, kosa lao ni kutafuta chama kidogo badala ya kujiunga na chama kikuu cha upinzani. ACT ina viongozi wabinafsi wanajiangalia wao badala ya umma. Wamekuja kuzigawa kura za wapenda mabadiliko.

Wapigwe tu hakuna namna
 
Mapingamizi si mmewekeana wenyewe kwa wenyewe? Sasa CCM inahusikaje, fuateni sheria na kanuni zilizowekwa!
 
Hayo ni maneno tu kama ya kwenye kanga yalisemwa tangia 95 mpala sasa ynasemwa tu.wakukinukisha huwa awasemagi.
 
wapemba nawaaminia walikinukisha 2001 wakapata serikali ya mseto mwaka huu wakikinukisha vizuri watapata uhuru wa nchi yao.
Sababu iliyofanya washindwe kukinukisha 2015, ndio hiyo hiyo itakayofanya washindwe mwaka huu.
 
Jiwe anaingiaje hapo, kwani aliwalazimisha kuwateua hao vilaza wenu walioshindwa kujaza form? Tatizo lenu wakati ccm anahangaika kuchuja wagombea mlikuwa mnawananga.Ccm walijua kuwa kuweka mgombea asiyejitambua kunaweza kukigharimu chama pakubwa.Wagombea wa upinzani walipewa ridhaa kwa kujuana bila weledi. Sasa vuneni mlichopanda.
jiwe ataharibu amani ya Zanzibar acha haki itendeke,Jiwe na ccm yake watakuwa tayari kuporwa ushindi wao,kama wasivyopenda kuporwa ushindi wao,waelewe kabisa na Zanzibar haiko tayari kuporwa ushindi halali
 
Uonevu ukizidi husababisha umwagaji damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…