Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
mimo huwa naweka details zote za bidhaa husika
naweka location yangu
naweka namba za simu
napost halafu nafunga comment section.
wateja serious wanavuta waya tu na kuja tunafanya biashara
Yaani kitu hata Kama nina shida Nacho mpaka mwisho
Nikikuta comment section imefungwa siwezi hata kujaribu.
Mfanyabiashara gani unaogopa challenge Za wateja?
Unaweakness gani unazoogopa zitakua exposed kwenye comments?