Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha unaepigiwa simu mbili kwa siku na sie wengineKwa wafanya biashara serious kitendo cha ku get in touch tu na mteja kwetu ni opportunity.
Kwanza tunafurahia toka moyon kwamba unaongea na mteja.
Tunaamnin licha ya kuweka maelezo kwenye banner bado haitoshi kum convince so hivyo akipiga simu hata kama hakua na mpango wa kununua basi atajikuta analazimika kununua.
Katika kuzungumza nae una pata fursa ya kujua persperctive ya bajet yake na ku propose product iliyo katika bajet yake.
Pendeni kazi zenu vijana muache kulialia maisha magumu.
Yan mkisha jaza mipicha picha kwenye page zenu na watsap basi mnaona kama ndio mshamaliza kazi wasiponunua mnaanza kuona biashara ngumu
Hii ni kweli lakini tuichukulie kama changamoto tu ya biashara.Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc.
Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine anauliza bei tena wakati bei umeshaweka.
Anakuja anakusumbua maswali kibao mwisho wa siku anakwambia eti niidhani hivi na vile. Una muuliza ina maana maelezo ya bidhaa hukusoma kwenye Tangazo?
Ingawa wateja serious wachache sana pia huwa wapo tena hawanaga mambo mengi ni anakuja tu moja kwa moja anauliza discount na njia ya kuipata.
Kwann usiweke utaratib mzuri tu kuwa attend wote?Tofautisha unaepigiwa simu mbili kwa siku na sie wengine
Simu zipo nne , utashinda unapokea simu asubuh mpaka usiku mzito
Hapo una text za fb
Text za dm insta
Comments fb na insta
Whatsapp nne
Fb peke yake ni msg zaid ya buku per day
Huo mda wa kupiga story na kujibu hao wavivu kusoma haupo, na most of the time hawanunui n wasumbufu , napuuzia naendelea na wateja serious
Huo utaratibu tayar upo , uzoefu tayar ulishanifunza nani ni mteja na nani sio mteja kutokana na nature ya biashara nayofanyaKwann usiweke utaratib mzuri tu kuwa attend wote?
AiseeKama nikienda bar najua wanauza bia, lakini mhudumu akija namuuliza tena balimi zipo...? Vipi ni za baridi..?
Kama hutaki maswali acha biashara
Of course wanoulizia kila kitu sio wanunuzi wengi wanafanya window shoppingHuo utaratibu tayar upo , uzoefu tayar ulishanifunza nani ni mteja na nani sio mteja kutokana na nature ya biashara nayofanya
Kuna maswali nikiyaona tu hata siendelei na hiyo conversation najua tu mwisho wa siku atasema ajipange au akipata pesa atakuja wakat huo huo wako watu wanasubiri uwahudumie na wana nunua hapo hapo , so napjga chini naenda kwa anaefuata kwenye line
Anaifanyaje picha eh!Biashara yangu si ya hivyo hata
Yaani picha nnazopiga ndo mawinga wanatumia kuuzia bidhaa
Na kwangu issue siyo picha ni kilichopo ndani
Waomba picha huwa wana kazi ya kwenda kutafuta bidhaa pengine,
Anaenda kwa fulani anamuuliza product anaambiwa lete picha, Anarudi kwangu anatomba picha anatuma kule,
Kudeal na wanawake kwenye biashara muda mwingine inabidi kuwa mkali , unless wanakupotezea muda bila sababu
huyu ni mimianatomba picha
samahani mkuu ushafanya/unafanya biashara na Watanzania online???Kwa wafanya biashara serious kitendo cha ku get in touch tu na mteja kwetu ni opportunity.
Kwanza tunafurahia toka moyon kwamba unaongea na mteja.
Tunaamnin licha ya kuweka maelezo kwenye banner bado haitoshi kum convince so hivyo akipiga simu hata kama hakua na mpango wa kununua basi atajikuta analazimika kununua.
Katika kuzungumza nae una pata fursa ya kujua persperctive ya bajet yake na ku propose product iliyo katika bajet yake.
Pendeni kazi zenu vijana muache kulialia maisha magumu.
Yan mkisha jaza mipicha picha kwenye page zenu na watsap basi mnaona kama ndio mshamaliza kazi wasiponunua mnaanza kuona biashara ngumu
😂😂😂Honestly hapana ..mi nafanya sales za man to man so nimezungumza kwa experience hiisamahani mkuu ushafanya/unafanya biashara na Watanzania online???
naona huwajui vzr shehe....
Mara nyingi huwa na bei kwa kila myeja mimi ilishawahi kutokea wakat najifungua nilihitaji bidhaa duka kubwa tuy insta nikamuuliza aliniambia 180,000 tukafika hadi 150,000 nikamwambia wifi yangu amuulize na yeye he alisema 240,000 hamna hamna 210,000 sababu wifi alichat full english hahahahSijawahi kuona wafanyabiashara wapuuzi kama wa Online katika hii nchi! Anaweka product na kazi yake tu ila specifications hamna na bei haweki anataka umpigie simu au uende inbox. Sasa unauza kitu ambacho thamani yake huijui ama! Hii tabia inakera mno mbadilike.
😂😂😂😂😂😂😂 anapigwa mtu chapMara nyingi huwa na bei kwa kila myeja mimi ilishawahi kutokea wakat najifungua nilihitaji bidhaa duka kubwa tuy insta nikamuuliza aliniambia 180,000 tukafika hadi 150,000 nikamwambia wifi yangu amuulize na yeye he alisema 240,000 hamna hamna 210,000 sababu wifi alichat full english hahahah
Wanunuzi huwa wanapiga simu tu. Moja kwa moja hawana maelezo na kuchati kwingi.Kuna mmoja kila siku story huu mwezi wa tatu tangu a one bidhaa na aahidi kununua mpaka leo akipiga napokea akituma sms namjibu akinihaidi kununua namwambia KARIBU
🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Ndio inavyotakiwa ukiwafuatisha watakupotezea muda halafu mwisho wa siku chenga.Wanunuzi huwa wanapiga simu tu. Moja kwa moja hawana maelezo na kuchati kwingi.
Me hadi now nikitaka bidhaa naangalia maelezo then napiga simu moja kwa moja sio kuhoji hoji maswali ya kiwaki.[emoji23]
Mteja nikiona kaja tu na maswali ambayo kimsingi yapo kwenye tangazo. Najua tu huyu si mnunuzi namjibu nikiwa na muda.