Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kiburi unataka upewe hela kirahisi tu . TusikusumbueElimu ya customer care mkuu unamaanisha nini kuweza kuvumilia ujinga wa wengine..
Ili kupunguza maswali unaweka maelezo yote yaliyoshiba tena kwa msisitizo ili mtu akija inbox basi aje kama mnunuzi. kama sio mnunuzi ni alipite tu tangazo.
Hatukatai maswali ila mtu aje na maswali ya msingi.Muulizaji wa leo ndiye mnunuzi wa kesho.
Wife ameaguza frig week ya pili mpka ss hajapokea na cm hawapokea na wala hawajibu je huo si utapeliWauzaji pia sio waaminifu.. ndo maana wateja tunakua na maswali mengi ili kujiridhisha na huduma mkuu..
Imagine kuna mzgo nmeagiza kutoka dar tangu J3 ya wiki iliyopita, ila cha ajabu mpaka leo muuzaji hajautuma.
Uaminifu wenu ni ZERO
Ameagiza frigi kutoka wapi?Kama ni nje ya nchi asubirie wiki 4Wife ameaguza frig week ya pili mpka ss hajapokea na cm hawapokea na wala hawajibu je huo si utapeli
Ndani hap hap dar wakipigiwa sm hawapokei na hawjibu hata sms na matusi juuuAmeagiza frigi kutoka wapi?Kama ni nje ya nchi asubirie wiki 4
Kuna bidhaa na bidhaa,Hatukatai maswali ila mtu aje na maswali ya msingi.
Embu pata picha umendika inauzwa bei flani. Mtu anakuja na swali tena unauza bei gani?🙌😂😂😂
Picha umeweka za kutosha anakwambia nitumie picha inbox.🙌😂😂
Umeandika sifa zote za bidhaa husika vzuri tu. Anakuja na maswali yale yale ambayo majibu yapo kwenye description.
Si mbona huko mitandao ya nje tunasoma description vizuri na kutazama review basi then tukiridhika tunaagiza mzigo. Hatusumbui sumbui sellers kwa maswari ya kiwaki.🤨
Kabla ya kuagiza alifanya uchunguzi wowote kuhusu hao wauzaji hata reference yoyote au hata jamaa yake yoyote ambaye aliwahi kununua akampa ushuhuda kuhusu hao wauzaji?Ndani hap hap dar wakipigiwa sm hawapokei na hawjibu hata sms na matusi juuu
Hapana aliongea nao tu hawahusika na wanamtumia na sample kabisaKabla ya kuagiza alifanya uchunguzi wowote kuhusu hao wauzaji hata reference yoyote au hata jamaa yake yoyote ambaye aliwahi kununua akampa ushuhuda kuhusu hao wauzaji?
Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc.
Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine anauliza bei tena wakati bei umeshaweka.
Anakuja anakusumbua maswali kibao mwisho wa siku anakwambia eti niidhani hivi na vile. Una muuliza ina maana maelezo ya bidhaa hukusoma kwenye Tangazo?
Ingawa wateja serious wachache sana pia huwa wapo tena hawanaga mambo mengi ni anakuja tu moja kwa moja anauliza discount na njia ya kuipata.
KUTOKA KWA WADAU;
Kwa uzoefu wao pia mara nyingi wateja serious husoma maelezo ya bidhaa husika na mara nyingi hupiga simu moja kwa moja. Ila wale wateja wasio serious me nawaita wazururaji wa mitandaoni. wao kila sehemu wanataka kufanya kijiwe muanze kupiga story ndio huja na maswali ambayo majibu tayari yapo kwenye maelezo ya bidhaa husika.
KUHUSU UTAPELI;
Ni kweli kuwa upo kwa baadhi ya wauzaji. Jambo la msingi mara nyingi matapeli upendelea kuweka location kuwa wanapatikana Zanzibar. Hapo kuwa makini, wengine hawasemi kuwa wanapatikana wapi ukimfata inbox au ukimtext kuwa unahitaji bidhaa ataanza yeye kukuuliza kuwa unapatikana wapi ili ataje eneo tofauti na ww ulilopo ili mwisho wa siku utakiwe kutuma pesa atume mzigo.
Ukichumguza kwa makini utagundua picha za bidhaa ni za kudownload. Ila muhimu ni vyema kwa mara ya kwanza pendelea kama unajamaa yako mkoa husika ampelekee bidhaa yeye then jamaa yako akutumie.
Pendelea kujua bei halisi ya bidhaa. Mfano bidhaa fulani inauzwaga laki moja unakuta mtu ameweka bei nusu yake. Embu shtuka hata ww mwenyewe hujiulizi.(hapa nazungumzia kwa bidhaa mpya)
Siku hizi comment huwa wanafunga kwanini ufunge comment?? Hapo pia pita mbali.
Huyo ndugu yako alifanya makosa hakufanya uchunguzi na hii ndio kitu Watanzania wengi kinawashinda kisha baadae wanalaumu kwamba Wauzaji wote wa online ni matapeli kumbe hapana,yeye aliwezaje kujua kwamba hao ni wafanyabiashara kweli au ni wezi hadi akajiaminisha?Hapana aliongea nao tu hawahusika na wanamtumia na sample kabisa
Kwakeli ndio basi tenaHuyo ndugu yako alifanya makosa hakufanya uchunguzi na hii ndio kitu Watanzania wengi kinawashinda kisha baadae wanalaumu kwamba Wauzaji wote wa online ni matapeli kumbe hapana,yeye aliwezaje kujua kwamba hao ni wafanyabiashara kweli au ni wezi hadi akajiaminisha?
Yaani ni jambo dogo tu la kuunganisha dot tu na kukusanya vielelezo mbalimbali mtu anashindwa.
Mimi muuzaji hata awe yuko Ulaya nikiongea naye kuna vitu nitamuuliza akinijibu nitajua tu kama ni mfanyabiashara au tapeli
Biashara uvumilivu, ujue kikubwa unachohitaji kwa mteja ni pesa yake na si kumfunza tabia.Elimu ya customer care mkuu unamaanisha nini kuweza kuvumilia ujinga wa wengine..
Ili kupunguza maswali unaweka maelezo yote yaliyoshiba tena kwa msisitizo ili mtu akija inbox basi aje kama mnunuzi. kama sio mnunuzi ni alipite tu tangazo.
Unatumiwaje sample ya friji?Hapana aliongea nao tu hawahusika na wanamtumia na sample kabisa
Wasumbufu wengi huwa si wanunuzi mkuu. Hii naongea kwa uzoefu. Mwanzo nilikuwa najaribu kwenda nao lkn nikagundua ni kupoteza muda wengi si wanunuzi. Mnunuzi serious yuko makini.Biashara uvumilivu, ujue kikubwa unachohitaji kwa mteja ni pesa yake na si kumfunza tabia.
Ukiona mwepesi kupaniki kafanye kazi zingine, ila ikiwa uu tayari kufanya biashara basi ukubali kuishi na kero, kwani akikukera ila mwishowe akanunua una hasara gani hapo 🤣
Wanapita tu hao mwanangu, kikubwa tunza sifa na tabia yako, hawachelewi kusema hujui kuhudumia wateja. Image ya biashara yako ni muhimu kuliko hao wapitaji.Wasumbufu wengi huwa si wanunuzi mkuu. Hii naongea kwa uzoefu. Mwanzo nilikuwa najaribu kwenda nao lkn nikagundua ni kupoteza muda wengi si wanunuzi. Mnunuzi serious yuko makini.