Mavurunza
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 230
- 172
Ukiona hivyo ujue kuna upigaji, kila mnunuzi anapewa bei yake kulingana na alivyokuja. Mteja mwingine anaanza kusifia bidhaa kwanza ilivyo nzuri kabla hajauliza bei. Unategemea atapewa bei sawa na wengine?Sijawahi kuona wafanyabiashara wapuuzi kama wa Online katika hii nchi! Anaweka product na kazi yake tu ila specifications hamna na bei haweki anataka umpigie simu au uende inbox. Sasa unauza kitu ambacho thamani yake huijui ama! Hii tabia inakera mno mbadilike.