Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Wengine wanaomba picha zaidi kujiridhisha, huwenda zile ulizo upload hazionekan vizuri, au kuna kitu alitegemea atakiona kwenye picha hajakiona vizur ndio maana anaomba picha zaidi.Jiwe gizani
Wasumbufu wameguswa hapo juu
Ukiona blue ticks kwenye whatsap yangu unaweza ukaacha kabisa online business
Mtu anakuja na screenshot yenye bei Halafu anakuuliza bei gani?
Umeandika location anauliza unapatikana wapi
Picha umeweka anaomba picha zaidi
Wengine wanaomba mpaka feedback kutoka Kwa wateja wengine [emoji119]
Mda mwingine inabidi muwavumilie tu ukiwa mkali na nongwa nyingi unajikuta unafukuza mteja.