Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
๐ ๐ ๐mwingine alikuja inbox maswali mengi nikawa namjibu kama ilivyopaswa.
kaomba na picha za kutosha nikamtumia ile bidhaa ilikuwa juu ya meza. mwisho wa siku ananiuliza "hiyo meza vipi huuzi?"๐๐๐
Yaani tutoke kwenye kujadili bidhaa husika tuanze kujadili meza tena.
Unamjibu tu hapana na kumrudisha kwenye point ya msingi.