binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mimi nimeacha kabisa kununua nguo, viatu na handbags online. Ptuuu Wabongo ni waongo rangi imewekwa filter, size za uongo, hata hand bag kwanini mtu asiweke hata rula kama kipimo. Unaagiza handbag kubwa kinakuja kidunchu cha kuchezea watoto.Hakuna biashara pasua kichwa kama kuuza nguo na viatu online.