Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Nov 16, 2023 #241 Show Game said: mimo huwa naweka details zote za bidhaa husika naweka location yangu naweka namba za simu napost halafu nafunga comment section. wateja serious wanavuta waya tu na kuja tunafanya biashara Click to expand... Yaani kitu hata Kama nina shida Nacho mpaka mwisho Nikikuta comment section imefungwa siwezi hata kujaribu. Mfanyabiashara gani unaogopa challenge Za wateja? Unaweakness gani unazoogopa zitakua exposed kwenye comments?
Show Game said: mimo huwa naweka details zote za bidhaa husika naweka location yangu naweka namba za simu napost halafu nafunga comment section. wateja serious wanavuta waya tu na kuja tunafanya biashara Click to expand... Yaani kitu hata Kama nina shida Nacho mpaka mwisho Nikikuta comment section imefungwa siwezi hata kujaribu. Mfanyabiashara gani unaogopa challenge Za wateja? Unaweakness gani unazoogopa zitakua exposed kwenye comments?
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Nov 16, 2023 Thread starter #242 Show Game said: mimo huwa naweka details zote za bidhaa husika naweka location yangu naweka namba za simu napost halafu nafunga comment section. wateja serious wanavuta waya tu na kuja tunafanya biashara Click to expand... Unapoteza wateja. Comment acha hakuna sababu ya kuzifunga. Ukiulizwa jibu maswali ya msingi. Mtu akiuliza swali ambalo lina majibu kwenye post, huyo si mteja unaachana nae ukiweza.
Show Game said: mimo huwa naweka details zote za bidhaa husika naweka location yangu naweka namba za simu napost halafu nafunga comment section. wateja serious wanavuta waya tu na kuja tunafanya biashara Click to expand... Unapoteza wateja. Comment acha hakuna sababu ya kuzifunga. Ukiulizwa jibu maswali ya msingi. Mtu akiuliza swali ambalo lina majibu kwenye post, huyo si mteja unaachana nae ukiweza.
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Sep 28, 2024 Thread starter #243 . Attachments VID_212130526_055753_041.mp4 23 MB
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 Sep 28, 2024 #244 Vhagar said: . Click to expand... Noma sana