Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Njaa tu...shida hazizoeleki..wataenda wap?Hao manesi washazoea
Tafuta dawa ya wadudu kuna ile ya unga inasaidia sana kukimbiza wadudu, pia tafuta solar ndogo kwa ajili ya taa na back up umeme ukikatikaYamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje.
Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.
Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
Hapana mi ni msafi sana mazingira tu sio mazuri chumba ni gofu tu ukideki Asubuhi ukirudi job SAA Tisa chini mchwa washajenga,sema nyumba zao ni za zamani sana,chumba ninacholala kina ufa juu mpaka chini nakiogopa sijui kama hakitanidondokea na mvua zinazoanza na upepo mkali acha tu rafiki angu usicoment ivi mimi naishi mazingira magumu sana mshahara laki mbili tu.Acha Uchafu kwa kigezo Cha kusingizia kijijini.
Mbona vijijin tunaishi kwa Amani kabisa
Kwani uongo? Hana. Angekuwa na zo si angebeba chumba anachokitaka kwenye begi lake?Kuna wajinga watakuja hapa watasema kuwa huna akili😆😆
Ileje pasikie tu.....pazuri sana. Sema watumishi hujitenga Sana na wenyeji wakihofia kurogwa na wandali. But pako poaKuna zahanati ipo simiyu..ina manesi wawili tu...kila daktari akipangiwa kule anakimbia....
Umeme upo
Network hakuna yakutafta tafta
Wananchi wanaanzia kwa waganga kwanza alafu zahanati
Maji ya bwawani
Kijijini pasikie tu kwa mwenzio..kijana ukienda uko hutoboi
Hakuna nyumba bora zaidi ya hiyo? Au bado kipato hakijakaa sawaHapana mi ni msafi sana mazingira tu sio mazuri chumba ni gofu tu ukideki Asubuhi ukitudi job SAA Tisa chini mchwa washajenga nyumba zao nyumba za zamani sana
Ajilipue anunue hata TVS 125 , atokee sehemu yenye centre ya kueleweka.Hakuna nyumba bora zaidi ya hiyo? Au bado kipato hakijakaa sawa
Kama ana uwezo wa kununua hiyp TVS basi atakuwa na uwezo wa kupata nyumba ya afadhali kidogo. Labda kama hicho kijiji nyumba zote zipo hivyo..Ajilipue anunue hata TVS 125 , atokee sehemu yenye centre ya kueleweka.
Hujawahi kuniangusha dogoAcha kazi mwalimu
Hakika, Kama amefanikiwa kuwa mtumishi maana yake ni atakua na kipato fulani kinachokidhi mahitaji na ataweza kununua pikipiki.Kama ana uwezo wa kununua hiyp TVS basi atakuwa na uwezo wa kupata nyumba ya afadhali kidogo. Labda kama hicho kijiji nyumba zote zipo hivyo..
Malazi bora ni muhimu kwanza.
Shikamoo Mwalimu wa zamu, vumilia utazoea, huko ni pazuri kwa kubana mshahara, tena hata hautakuja kutamani kuondoka hukoYamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.
Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.
Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.