financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mkuu taja na mazuri ya kijijini hapo, vipi vyakula si bei rahisi buku hushibi vizuri dona na mbogamboga ? na hali ya hewa si safii, yaani nahisi umeenda kijijini kwetu huko😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]Na mkikutana kilabuni maongezi yenu ni...... "Kuku Wangu Ameanza Kutaga Mayai"
Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
Hakuna nyumba bora zaidi ya hiyo? Au bado kipato hakijakaa sawa
Ni kazi gani hiyo inakutesa hivo mkuuHapana mi ni msafi sana mazingira tu sio mazuri chumba ni gofu tu ukideki Asubuhi ukirudi job SAA Tisa chini mchwa washajenga,sema nyumba zao ni za zamani sana,chumba ninacholala kina ufa juu mpaka chini nakiogopa sijui kama hakitanidondokea na mvua zinazoanza na upepo mkali acha tu rafiki angu usicoment ivi mimi naishi mazingira magumu sana mshahara laki mbili tu.
Aaaah kmmmk unaelezea kama unamwona muhusika!Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
Lawama ziende kwa serikaliKota za watumishi
Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.
Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.
Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
Ila wewe😅😅😅Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
Mkuu wewe😀😀Na mkikutana kilabuni maongezi yenu ni...... "Kuku Wangu Ameanza Kutaga Mayai"
Hukuhamia huko kijijini na huyo bwanako anayekusimanga kila akikupa elfu 1? NB: cold water unanzisha thread za uongo ili kufurahisha baraza?Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.
Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.
Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
unadharau fursa badala uichangamkie unalela vichekesho.Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.