unadharau fursa badala uichangamkie unalela vichekesho.
hakana watu wanaenjoy kama watumishi wa umma vijijini, wengi hivi sasa ndio wana nyumba bora binafsi walizojenga wenyewe,
ndio sasa matajiri wa mazao ya kilimo, wanaomiliki mashamba makubwa, bar na gest house zilizoboreshwa,
ndio hivi sasa wanamiliki mastationaries na maduka ya madawa....,
ndio Wakopeshaji wakubwa (kausha damu vijijini) na watu vijijini walivyo waoga hawapitishi siku lazima wajisalimishe huku wakija na jogoo mkubwa wa elfu20 unamchukua kwa marejesho ya elfu5 kama comparation ya marejesho......
Tumia iyo kama fursa utatoboa...