Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

Hapana mi ni msafi sana mazingira tu sio mazuri chumba ni gofu tu ukideki Asubuhi ukirudi job SAA Tisa chini mchwa washajenga,sema nyumba zao ni za zamani sana,chumba ninacholala kina ufa juu mpaka chini nakiogopa sijui kama hakitanidondokea na mvua zinazoanza na upepo mkali acha tu rafiki angu usicoment ivi mimi naishi mazingira magumu sana mshahara laki mbili tu.
Wewe n mwalimu wa shule Msingi siyo
 
Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
[emoji1787]kmmmk, kitakachofuata hapo ni kifo tu.
 
Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.

Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.

Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
Piga picha tuone
 
Pole sana. But shukuru kwamba angalau una sehemu ya kupatia maokoto. Ever heard about Acres of Diamond?

Kuna wengine wengi tu wanatamani japo robo ya kile ulicho nacho wewe, na hawajahi kukipata -- mchana kutwa, usiku kucha wanahangaika miaka nenda rudi.

NB: Jaribu wewe mwenyewe kuwa badiliko unalotamani kuliona ulimwenguni.

Again, pole sana. It's never a laughing matter.
Tulikubaliana na mwenye Nyumba kubadili chumba taratibu.Na alipoona kuwa inawezekana akahamisha fikra kuwa kumbe ni swala dogo sana ukifanya taratibu.
 
Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.

Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.

Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
We chalii unapenda kuchangamsha genge hapa

Kuna thread moja ulisema ww ni ke saivi nakuona upo wa Me

Thread yako ulosema ME wako unampenda ila hana pesa

Huyu Jamaa ni Muongo tu
 
Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.

Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.

Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
Hizo zote ni fursa wewe wacha kupondea maisha ya kijijini! Jiongeze mwalimu uweke vitu vya maana. Kopa hela benki ujenge nyumba ya kupangisha hao maafisa wenzio! Weka salon nzuri upige hela mwalimu!
 
Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.

Ajira ajira za vijijini ni mateso hapa ninavyoongea umeme hamna nimebakiwa na asilimia 5% umeme umekata tangu SAA 5 Asubuhi.

Nilikuwa nasikia tu ajira za vijijini sasa najionea kwa macho huduma za kijamii chache mateso!!! mateso!!! Saluni zao za kunyoa sasa ha ha ha jamani jamani mchwa wametawala chumba cha kinyozi hakuna capeti ni vumbi mlangoni limewekwa pazia tu unaweza sema uko mgahawani.
Choo cha shimo afu kimejaa ukidosha ndoga inakurudishia chenji kwa tako
 
Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
Pump za dawa za Nyanya 😁😁😁 ukipiga vibaya upepo ukaingia usoni ni kuwashwa wiki nzima.😁😁😁
 
Back
Top Bottom