Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

Mbona mapema sana. Hapo bado hujaanza kununua suruali za marinda mnadani, kisha na viatu vikubwa vya kamba, na mabuti ya mvua. Utaanza kupaka rays. Kutoka hapo utanunua pikipiki used ya laki nane kwa mkopo wa faidika, utakodi shamba na kulima nyanya-nakuona na zile pump za kupiga dawa mgongoni. Nyanya zitakukata. Utaamua kufungua "Kinyozi" kama hicho inachokiponda.......
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Ni kazi gani hiyo inakutesa hivo mkuu

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Aaaah kmmmk unaelezea kama unamwona muhusika!
 
Tupia picha ya hicho kijiji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Ila wewe๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hukuhamia huko kijijini na huyo bwanako anayekusimanga kila akikupa elfu 1? NB: cold water unanzisha thread za uongo ili kufurahisha baraza?
 
unadharau fursa badala uichangamkie unalela vichekesho.

hakana watu wanaenjoy kama watumishi wa umma vijijini, wengi hivi sasa ndio wana nyumba bora binafsi walizojenga wenyewe,

ndio sasa matajiri wa mazao ya kilimo, wanaomiliki mashamba makubwa, bar na gest house zilizoboreshwa,

ndio hivi sasa wanamiliki mastationaries na maduka ya madawa....,

ndio Wakopeshaji wakubwa (kausha damu vijijini) na watu vijijini walivyo waoga hawapitishi siku lazima wajisalimishe huku wakija na jogoo mkubwa wa elfu20 unamchukua kwa marejesho ya elfu5 kama comparation ya marejesho......

Tumia iyo kama fursa utatoboa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ