naona malaika mnafarijiana jukwaani badala ya kuzingatia maelezo ya faida katika hoja mahususi mezani.🐒
Yaan leo kaamka aiseeJentroman leo umeamka nazo 😂😂
Ila na mtu mmoja mkuu…ukimix badala ya kuglow utaambulia kaswende😩Yes,
uko sahihi,
hiyo ni miongoni mwa faida muhimu ya wazi sana ya kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu 🐒
Mbona umenitag? Nahusikaje?Aisee mimi nina mwaka sasa, niko dry..
Kujifanya Monk eti nataka niwe enlightened. Kumbe najikomaza tu bichwa langu hili. 😔
Basi atokee bidada anitunuku basi, huenda tukawa forever
ephen_ binti kiziwi win-one Mallerina
In fact ndio maana nipo hapa kwa upendo mkubwa,Umeamua Kukengeuka Jetromeni...!!Vya Kusifu Vimeisha Tumerudi Uwandani Sasa,,Mahabani...Tuendelee Tu Jetromeni Hayanaga Mwenyewe Hayo..
Jiongeze bwanaa, mpka niseme kwa sauti?Mbona umenitag? Nahusikaje?
Gentleman,Bora wewe leo uongee mapya wakati wenzako wanamshambulia mkwe kwa kuwataja nje ya chumba chao!
Gentleman,Aisee mimi nina mwaka sasa, niko dry..
Kujifanya Monk eti nataka niwe enlightened. Kumbe najikomaza tu bichwa langu hili. 😔
Basi atokee bidada anitunuku basi, huenda tukawa forever
ephen_ binti kiziwi win-one Mallerina
In fact ndio maana nipo hapa kwa upendo mkubwa,
kuwapa mbinu wadau wa Jf, ya kuimarisha afya ya moyo na akili, lakini pia kuimarisha afya ya ngozi zao na kuchochea ufanisi katika utekelezaji wa kazi zao za kila siku.
Kumbe basi,
msingi au chimbuko la ufanisi wa kazi na majukumu yako ya kila siku ni kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu. Wengi hawajui siri hii muhimu ya mafanikio ndugu mdau.
Nimekuja kuwasanua leo 🐒
uko sahihi gentleman,Hakika mleta mada, angalia walio kwenye mapenzi shata shata walivyo glow.. Yaani huwa wanaglow mpka wanaanza ku fanana.