Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kwa ukamilifu kunaimarisha afya ya moyo, ngozi na akili.

Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kwa ukamilifu kunaimarisha afya ya moyo, ngozi na akili.

Na zaidi sana,
kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa usahihi na kikamilifu.

In fact,
wanaofanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu hua na nuru ya kipekee zaidi usoni na afya njema sana ya ngozi, akili na mwili mzima katika ujumla wake, tofauti kabisa na asiepata huduma hiyo vizuri, ambapo kwa kweli ukimtazama sura tu utagundua ni makeup au utanashati tu ndio vinamsaidia, but amekomaa mno sura.

Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu kunaondoa hofu na wasiwasi na kunaongeza ujasiri na kujiamini na kuchochea uhakika wa kufanikiwa mipango mikakati yako.

Nashauri kufanyika mapenzi kwa usahihi na kikamilifu ili kuimarisha afya ya moyo na utulivu akilini na itapendeza zaidi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sie wazee wa mazoezi magumu ngono inalostisha sana!
 
Yes,
kamwe usipende kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi kwasababu ni hatari kwa afya ya moyo na akili yako.

Na unajiweka kwenye hatari zaidi ya kufia penzini siku ukipata nafasi hiyo 🐒
Eeh mkuu umefika mbali sana 😁😂😃🙌 nimekucheck pm kiongozi
 
Sie wazee wa mazoezi magumu ngono inalostisha sana!
No gentleman,
huenda mnaifanya kwa makosa na hamuifanyi kwa usahihi na kikamilifu.

do it slowly but surely na itapendeza zaidi.
And i can confirm to you without any fear of contradictions,
after some times utaanza kunotice mabadiliko ya kiafya, muonekano na hata utulivu wa akili na ufanisi wa majukumu yako ya kila siku ikiwa ni pamoja na mazoezi magumu unayofanya 🐒
 
Yes,
kamwe usipende kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi kwasababu ni hatari kwa afya ya moyo na akili yako.

Na unajiweka kwenye hatari zaidi ya kufia penzini siku ukipata nafasi hiyo 🐒
Siwezi FIA penzini bwana, usiende mbali huko.
 
Mrija umekata umeacha nyuzi za kichawa 😹😹
 
Pesa ndio Inayo mtakatisha Mtu hata huyo wakukupa Mapenzi atakuja kupitia pesa zako..Hivi unajua Stress za kukosa pesa hizo Hisia Zina tokea wapi
 
TUNAMSHUKURU MAMA KWA KUFANIKISHA HILI

hakika awamu ya sita imejitoa kutetea afya za watu wake

MAMA ANATOSHA
TWENZETU NA MAMA MPAKA 2030
#asantemamakwahili#nanikamamama#
#kazinautu#
shiriki tendo la ndoa mara kwa mara kuimarisha afya ya moyo na akili na kuchochea ufanisi kazini 🐒
 
Mrija umekata umeacha nyuzi za kichawa 😹😹
shiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu ili kuimarisha afya ya moyo na akili lakini pia kupata nuru usoni na muonekano angavu wa kuvutia wa mwili wako.

hakuna haja ya kujifanyia modification na mamakeup meeengii wakati kuna njia rahisi kabisa isiyo tumia chemicals, okay?🐒
 
Safari hii nyuzi za hivi utatype sana tu..!! 😹
Chezea mrija kukatwa wewe..!
 
Pesa ndio Inayo mtakatisha Mtu hata huyo wakukupa Mapenzi atakuja kupitia pesa zako..Hivi unajua Stress za kukosa pesa hizo Hisia Zina tokea wapi
mbona Nchabah na Dudukhweh wanaenjoy tu mapenzi gentleman na hawana pesa na wala hawana haja nazo?🐒
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    41.5 KB · Views: 3
Safari hii nyuzi za hivi utatype sana tu..!! 😹
Chezea mrija kukatwa wewe..!
Ndugu mdau wa JF,
mimi nimejaaliwa talent mingi kidogo, na kwakweli nina maswali na majibu ya kila kinachopostiwa humu jukwaani,

halafu,
Alhamdulilah nanavyo vipesa kidogo vya kuniwezesha kufanya chochote nipendavyo, lakini pia vya kunifanya asiwepo mdau yeyote wa kuniibabaisha kwa chochote kokote ndani na nje ya JF.

So,
nipo na nitaendelea kuwepo kushusha madude mazito mazito jukwaani 🐒
 
Pesa utoe wapi wewe uncle Hamis fundi power bank 😹😹
 
Pesa utoe wapi wewe uncle Hamis fundi power bank 😹😹
pesa ni ya kutafuta ndugu mdau,
na kwakweli nimejaaliwa elimu, nguvu, bidii na maarifa ya kuzitafuata kwenye maeneo mengi sana ikiwa ni pamoja na kilimo, ufugaji, biashara, uhadhiri, utumishi wa umma, utumishi wa Mungu, siasa n.k na Alhamdulilahi, kusema ukweli nazipata kwa kiasi zinavyopatikana na kuinjoy kadiri inavyofaa mimi pamoja na familia yangu, ndugu jamaa na marafiki zangu wa ndani na nje ya JF.

hata hivyo,
suala la kunyandua na kugegeda mara kwa mara kwa usahihi na katika ukamilifu wake, hua sina mzaha nalo na kwakweli linanifanya kua mwepesi daima na mwenye bidii sana katika majukumu yangu, na daima nayatekeleza kwa ufanisi mkubwa sana.

nakushauri hata wewe na wadau wengine wa jf msipuuze jambo hili muhimu sana kwa faida ya afya ya moyo na akili zenu:NoGodNo:.
 
Back
Top Bottom