Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
Gentleman,Mwanasiasa leo unaongelea afya ya mapenzi, hii kali
katika kuimarisha utendaji na afya ya moyo na utulivu wa akili, ni muhimu sana kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na katika ukamilifu.
hii inasaidia kwa kiasi kikubwa kukupa amani moyoni na utulivu akilini na kupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu yako.
Kumbe bas,
msingi na chimbuko la ufanisi katika kazi na majukumu yako ni kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu.
Hivyo bas,
nakusihi,
chukua hiyo siri gentleman na huna haja ya kuja kunishukuru ukiwa unaijoy matunda yake 🐒