Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

sasa kwa nini tunakamtwa
ni uonevu uliokithiri na watu wanafungwa, binti 18 yrs na kafanya kwa hiyari, hajabakwa na hajashika mimba, eti watu wanafungwa 30 yrs, inakuwaje mahakimu wanashindwa kudadavua vifungu vya sheria???
 
Nadhani wanasheria walioko hapa JF watueleze kinagaubaga hii imekaaje,yawezekana Vijana wengi wako magerezani Kwa sababu mahakimu walishindwa kutafsiri Sheria vema
 
Nadhani wanasheria walioko hapa JF watueleze kinagaubaga hii imekaaje,yawezekana Vijana wengi wako magerezani Kwa sababu mahakimu walishindwa kutafsiri Sheria vema
ni wengi sana wamefungwa 30 yrs kwa kutetema na mwanafunzi amabye ni >18 yrs kwaridhaa na bila kuwa na mimba, hukumu huwa zinatolewa kwa reference za wanasiasa/wanaharakati na siyo vifungu vya sheria
 
Sasa walikuwa wapi siku zote kudadavua na kufuata sheria kwa usahihi

Ngoja nikawafungulie mashtaka wanilipe hasara walizonisababishia.

Rose wangu alikuwa 18+ kabisa na amejijaza mwenyewe kwenye mfumo, nikaogopa wale wazee waliokuwa wananinyemelea wanidake, nikatoka berenge dah!
 
Mchawi ni umri tu siyo uanafunzi wake!
Mchawi ni uanafunzi na sio umri.
Aliye fall la 7 hata akipata mimba sio shida, sasa yule wa 19yrs afu yuko 4m 5 awe na mimba ndo utajua hujui.
 
Sheria ya nchi yetu , inazuia sio kumpa mimba tu, Bali hata ikijulikana una mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ni kosa .

Mtu timamu hawezi kuwa na hisia uchwara na mtoto wa miaka 17./18

Mi nyege imepoteza wengi , kimya kimya .
 
Mchawi ni uanafunzi na sio umri.
Aliye fall la 7 hata akipata mimba sio shida, sasa yule wa 19yrs afu yuko 4m 5 awe na mimba ndo utajua hujui.
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu wasichana kuolewa wakiwa na miaka 14 kwa idhini ya mahakama na miaka 15 kwa ridhaa ya mzazi 😡(huo umri wa kuolewa (14-15) hawa si ni watoto walioko bado sekondari??
 
Sheria ya nchi yetu , inazuia sio kumpa mimba tu, Bali hata ikijulikana una mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ni kosa .

Mtu timamu hawezi kuwa na hisia uchwara na mtoto wa miaka 17./18

Mi nyege imepoteza wengi , kimya kimya .
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu wasichana kuolewa wakiwa na miaka 14 kwa idhini ya mahakama na miaka 15 kwa ridhaa ya mzazi😡😱
 
Hahaha ni kosa,,unaruhusiwa kulala na binti aliyezidi miaka 18 kwa dhana ya mtu mzima tayar kikatiba na The child act, the marria act inakupa ruhusa kuoa ad miaka 14 for the benefit of mwolewaji and ruhusa ya wazaz au walez,the penal code ni jinai kulala na mwanamke kwa lazma au chini ya miaka 18,,the education act nayo ni kosa kulala na mwanafunzi wa sekondari au ya msingi bila kujali umri wake,,kwahy ndugu zangu tunakujaga kukabiwa kwa juu hapa kwenye sheria ya elimu hata kama ni wa form 6 ana miaka 20 kosa tayar sabu ni mwanafunzi
 
Ukifanya hvo utajikuta na kosa la ubakaji kwa sababu mwanafunzi anahesabika ni mtoto kwa sheria ya elimu kwahy hakuwa na consent ni umemlazimisha tu hapo penal code inakuhusu miaka 30 kwahy hapo hutumika sheria kama 3 adi 4 hvi nd znakukuta na rape
 
Back
Top Bottom