Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

Hahaha ni kosa,,unaruhusiwa kulala na binti aliyezidi miaka 18 kwa dhana ya mtu mzima tayar kikatiba na The child act, the marria act inakupa ruhusa kuoa ad miaka 14 for the benefit of mwolewaji and ruhusa ya wazaz au walez,the penal code ni jinai kulala na mwanamke kwa lazma au chini ya miaka 18,,the education act nayo ni kosa kulala na mwanafunzi wa sekondari au ya msingi bila kujali umri wake,,kwahy ndugu zangu tunakujaga kukabiwa kwa juu hapa kwenye sheria ya elimu hata kama ni wa form 6 ana miaka 20 kosa tayar sabu ni mwanafunzi
huyo mwamba kaachiwa na mahakama ya rufani kwa sababu; walifanya kwa hiyari (Consensual sex) na binti huyo wa Sekondari yuko 18+ yrs
 
huyo mwamba kaachiwa na mahakama ya rufani kwa sababu; walifanya kwa hiyari (Consensual sex) na binti huyo wa Sekondari yuko 18+ yrs
Sio kwamba sio kosa ila republic inapomshitaki witness namba moja wao ambaye ndiye binti atakuwa aliwagomea na kuwa shahidi wa mshitakiwa kwa kuprove beyond reasonable doubt kuwa mim cjabakwa na niliridhia hiko kitendo kwa akili zangu binafsi na kwa kuwa mim mtu mzima nina 18+ na vyeti ni hivi kwahy nilikuwa nahtaj kupata haki yangu ya kupenda na kihisia. Court its all about ushahidi wako uwe na nguvu,, asa wew ukifanya na binti wa form 6 mwenye 20yrs af wazazi wakamkomalia binti wakawa mashahdi wa republic ndug umeisha,,panga kete zako vizur court zinatumika technicalities tu kama huyo jamaa
 
Mchawi ni uanafunzi na sio umri.
Aliye fall la 7 hata akipata mimba sio shida, sasa yule wa 19yrs afu yuko 4m 5 awe na mimba ndo utajua hujui.
Hizo scenarios ulizozitaja zinakuwa hivyo sababu ya uelewa mdogo wa sheria katika jamii ila mwanafunzi mwenye 19yrs hakuna kesi hapo.

Kama issue ni uanafunzi,hao watoto ambao hawajaanza shule watu wasingefungwa!
 
Hahaha ni kosa,,unaruhusiwa kulala na binti aliyezidi miaka 18 kwa dhana ya mtu mzima tayar kikatiba na The child act, the marria act inakupa ruhusa kuoa ad miaka 14 for the benefit of mwolewaji and ruhusa ya wazaz au walez,the penal code ni jinai kulala na mwanamke kwa lazma au chini ya miaka 18,,the education act nayo ni kosa kulala na mwanafunzi wa sekondari au ya msingi bila kujali umri wake,,kwahy ndugu zangu tunakujaga kukabiwa kwa juu hapa kwenye sheria ya elimu hata kama ni wa form 6 ana miaka 20 kosa tayar sabu ni mwanafunzi
Watu wanajifariji hawajui education act ndio anayowanasa
 
Ukifanya hvo utajikuta na kosa la ubakaji kwa sababu mwanafunzi anahesabika ni mtoto kwa sheria ya elimu kwahy hakuwa na consent ni umemlazimisha tu hapo penal code inakuhusu miaka 30 kwahy hapo hutumika sheria kama 3 adi 4 hvi nd znakukuta na rape
Waache waongopeane wasomewe namba na Pilato.
 
Back
Top Bottom