Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

huyo mwamba kaachiwa na mahakama ya rufani kwa sababu; walifanya kwa hiyari (Consensual sex) na binti huyo wa Sekondari yuko 18+ yrs
 
huyo mwamba kaachiwa na mahakama ya rufani kwa sababu; walifanya kwa hiyari (Consensual sex) na binti huyo wa Sekondari yuko 18+ yrs
Sio kwamba sio kosa ila republic inapomshitaki witness namba moja wao ambaye ndiye binti atakuwa aliwagomea na kuwa shahidi wa mshitakiwa kwa kuprove beyond reasonable doubt kuwa mim cjabakwa na niliridhia hiko kitendo kwa akili zangu binafsi na kwa kuwa mim mtu mzima nina 18+ na vyeti ni hivi kwahy nilikuwa nahtaj kupata haki yangu ya kupenda na kihisia. Court its all about ushahidi wako uwe na nguvu,, asa wew ukifanya na binti wa form 6 mwenye 20yrs af wazazi wakamkomalia binti wakawa mashahdi wa republic ndug umeisha,,panga kete zako vizur court zinatumika technicalities tu kama huyo jamaa
 
Mchawi ni uanafunzi na sio umri.
Aliye fall la 7 hata akipata mimba sio shida, sasa yule wa 19yrs afu yuko 4m 5 awe na mimba ndo utajua hujui.
Hizo scenarios ulizozitaja zinakuwa hivyo sababu ya uelewa mdogo wa sheria katika jamii ila mwanafunzi mwenye 19yrs hakuna kesi hapo.

Kama issue ni uanafunzi,hao watoto ambao hawajaanza shule watu wasingefungwa!
 
Watu wanajifariji hawajui education act ndio anayowanasa
 
Ukifanya hvo utajikuta na kosa la ubakaji kwa sababu mwanafunzi anahesabika ni mtoto kwa sheria ya elimu kwahy hakuwa na consent ni umemlazimisha tu hapo penal code inakuhusu miaka 30 kwahy hapo hutumika sheria kama 3 adi 4 hvi nd znakukuta na rape
Waache waongopeane wasomewe namba na Pilato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…