Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

piga mbupu acha ujingaaaa utajuaje kama ana kisimi au hana ama inaingia au haingii
 
Nachojua ni dhambi,

1 wakorintho 6:18
Ikimbieni zinaa, kila dhambi aitendayo mwanadamu ni ya nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Kumbukumbu la torati 5;18
Wala usizini.
 
Uasherati -
Uzinzi -

Naona shida ni watu hamuelewi maana ya haya maneno

Leteni Dictionary
Uasherati- fornication. Surya

Uzinzi - Adultery.
Soma maana ya fornication kijana. Mnapenda kulichezea Maandiko Matakatifu na kutafsiri kama mnavyotaka nyinyi.
 

Attachments

  • 20240408_000040.jpg
    20240408_000040.jpg
    52.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240408_000418_Chrome.jpg
    Screenshot_20240408_000418_Chrome.jpg
    116.1 KB · Views: 1
Tuanze na wewe,

Wewe waonaje ni dhambi au sio dhambi,
Tupe na Andiko,
 
Uasherati- fornication. Surya

Uzinzi - Adultery.
Soma maana ya fornication kijana. Mnapenda kulichezea Maandiko Matakatifu na kutafsiri kama mnavyotaka nyinyi.
dictionary za siku hizi chenga sana 😂😂😂🤣
nashindwa nianzie wap lakini nitasema jambo
 
kwani amri za Mungu moja wapo si inasema usizini? na wimbo uliobora pia unasema usiyachochee mapenzi mpaka yatakapo ona vyema yenyewe



ila hata mimi siwezi olewa na mtu sijajua kama yaliyomo yamo au hayamo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom