bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mambo ya vineeeeee🤠!
Uasherati- fornication. SuryaUasherati -
Uzinzi -
Naona shida ni watu hamuelewi maana ya haya maneno
Leteni Dictionary
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani amri za Mungu moja wapo si inasema usizini? na wimbo uliobora pia unasema usiyachochee mapenzi mpaka yatakapo ona vyema yenyewe
ila hata mimi siwezi olewa na mtu sijajua kama yaliyomo yamo au hayamo