GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
JK anatimiza miaka 75 October mwaka huu, kiakili na kimwili keshaanza kuchoka simuoni akiwa na nguvu sana za kujiingiza kwenye fitina ingawa anayo tabia hiyo ya ujuaji ambayo amezaliwa nayo.

Makamba alimzingua Samia mwenyewe katika masuala ya utendaji huko serikalini, aliingilia mamlaka ya mtu ambaye kwa sasa ni mwanasheria mkuu wa JMT Hamza Johari wakati ule akiwa mkurugenzi wa mamlaka ya anga TCAA. Samia hakupendezwa na ujuaji ule.
Your explanation does not make sense at all. There must be something hidden!
The real limit causes
 
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao.

Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni mwa waliomsikiliza alikuwepo mjane wa hayati John Pombe Magufuli ambaye naamini hakuamini kile alichokuwa akikisikia kikisemwa katika mtindo wa maneno ya mipasho.

Muda umepita na kile kiburi cha Mstaafu Makamba kimemrudia ndani ya Familia yake baada ya kijana wake mara mbili kupigwa chini na CCM. Naamini Rais Samia alitumia busara ya kupitisha kifungu katika mkutano maalum wa mtandaoni ili kujipunguzia maadui kwa kuyarudisha majina ambayo yalishakatwa hapo awali. Likiwepo jina la mtoto wa mkongwe Makamba.

Majina mapya ya wagombea wamesomwa jana na kwa mara nyingine halipo jina hilo la Mheshimiwa aliyepigwa chini kwenye uwaziri. Malipo yanakuwa hapa hapa juu ya uso wa dunia. Hausubiriwi ukakata roho ndio ukutane na moto wa milele unaanza kuuhisi mvuke mkali wa moto ukiwa bado unapumua.

Inawezekana muda huu ndani ya nyumba ya Mzee Makamba huko Bumbuli vichwa vimeinamishwa chini na chakula kinaliwa kwa huzuni na maswali mengi yasiyojibika yanaulizwa bila ya kuwepo kwa majibu. Tulikosea wapi?, mchawi wetu ni nani?, hata JK kashindwa kweli kumshawishi Samia mpaka jina limekatwa?.

Mzee Makamba katika uzoefu na hazina ya uzee wake alishindwa kabisa kuufahamu udhaifu wa mwanae kiutendaji. Habari za nyuma ya kapeti zinadai Samia alikerwa na namna Makamba alivyoamua kuingilia masuala ya utendaji wa Mamlaka ya Anga TCAA kwa kuamua kumpigia simu Waziri wa mambo ya nje wa Kenya ili watatue tatizo wakati mamlaka zipo na siku zote zinatatua zenyewe bila ya kuingiliwa!.

Baada ya Samia kukerwa ilikuwa ni suala la muda tu Makamba apigwe chini. Zile tambo za Baba yake mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu zisingeweza kumsaidia chochote, maji yalishamwagika.

Karma ipo kazini na Mungu ndiye anayeijua adhabu ambayo binadamu anaistahili na muda upi akutane nayo. Fitina za kupenda kuzungukana zina mwisho wake.

Mheshimiwa alikuwa na ndoto za kugombea urais wa JMT siku moja akiwa hai lakini ubunge wa jimbo lake umekuwa mtihani mkubwa.
Mkuu january na familia yake hawana cha kupoteza hii inchi ilishakuwa ya kifalme usishangae akaja kukushangaza.
 
Lakini hakuna aliyekufa/kutoroka maisha kijingajinga kama ilivyotokea tarehe 71/30/2120.
 
Hamna akili,kwani nafasi serikalini zimeis ha ,anaweza teuliwa nafasi yo yote na rais
 
M
Huyu mzee ni mshenzi na shetani mkubwa, mwasisi wa huu mfumo mbovu wa laana wa kuumiza watu akijua atakuwa salama yeye na familia yake kwenye mfumo maisha yao yote, pumbavu sn sijui anasubiri ni nini kufa?
Mkuu wewe sasa ndio unatukana, usilolijua ni usiku wa giza! Na kwa kukuelimisha Januari hajaenguliwa kwa sababu ya kauli ile!!!
 
..hivi mtoa mada unaamini kauli za Mzee Makamba ni mbaya na zinaumiza kuliko matendo ya Ccm dhidi ya wapinzani?

..kwa mfano, kauli za Kheri James wakati wa utawala wa Magufuli, kiburi alichokuwa nacho, mbona ndio kwanza amepewa promotion na mamlaka? Mbona karma haimfuati?

..Mambo yanayotokea ni ya kibinadamu. Tuyarekebishe sisi wenyewe. Uwezo huo tunao.Tanzania ni yetu sote.
 
Majina mapya ya wagombea wamesomwa jana na kwa mara nyingine halipo jina hilo la Mheshimiwa aliyepigwa chini kwenye uwaziri. Malipo yanakuwa hapa hapa juu ya uso wa dunia. Hausubiriwi ukakata roho ndio ukutane na moto wa milele unaanza kuuhisi mvuke mkali wa moto ukiwa bado unapumua.
Ni moto huu huu unao wasubiri Samia Suluhu Hassan na GENGE lake.
Umejitabiria vyema sana.
 
Your explanation does not make sense at all. There must be something hidden!
The real limit causes
Habari za ndani zinadai ni fisadi wa miaka mingi, anapenda maisha ya kwenye sinema ya kujikweza.

Pia anazo tabia za kiujana wakati keshafikisha miaka 50, kuchora katuni ya kumkashifu hayati JPM lilikuwa ni kosa la kijinga lakini lenye picha mbaya kwake kwenye suala zima la maadili.

Lilipokuja suala la kuingilia taasisi nyingine ambayo ipo chini ya wizara ya mawasiliano na uchukuzi wakati yeye akiwa waziri wa mambo ya nje ilikuwa sababu iliyomkera Samia kipindi kile lakini akaamua kumvutia muda ndio akamuondoa kwenye wizara ya mambo ya nje nafasi akaichukua Kombo.

Kuondolewa kwenye ubunge ni ujumbe mpana wenye kumhusu mheshimiwa kwamba hulka zake hazijakaa vizuri.
 
Mzee Makamba katika uzoefu na hazina ya uzee wake alishindwa kabisa kuufahamu udhaifu wa mwanae kiutendaji. Habari za nyuma ya kapeti zinadai Samia alikerwa na namna Makamba alivyoamua kuingilia masuala ya utendaji wa Mamlaka ya Anga TCAA kwa kuamua kumpigia simu Waziri wa mambo ya nje wa Kenya ili watatue tatizo wakati mamlaka zipo na siku zote zinatatua zenyewe bila ya kuingiliwa!.
Umelitembeza sana hili kwa muda mrefu sana; kiasi kwamba unajiona kuwa wewe ndiye mwenye ukweli.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga atamzidi vipi kimamlaka waziri wa Mambo ya nje; popote pale duniani?

Unachoweza kusema na kuaminika; ni kuwa Hamza Johari alitumia u-Zanzibar wake, na kuupeleka kwa mzanzibar mwenzake. Hili litaeleweka.

Nimeamua nikujibu hivi kwa staha mara moja hii; kwa sababu umeendeleza upotoshaji usiokuwa na msingi wowote

Vinginevyo, wewe unabaki tu kuwa ni MZOGA ule ule unaosubiri kuchomwa moto au kufukiwa amoja na GENGE zima la Samia Suluhu Hassan..
 
Back
Top Bottom