MZOGA utajuwa namna gani upuuzi ulivyo. Unataka kujirudisha kuwa na uhai ndani yako?Wewe mpuuzi hujui hata unachokiandika.
MZOGA utajuwa namna gani upuuzi ulivyo. Unataka kujirudisha kuwa na uhai ndani yako?Wewe mpuuzi hujui hata unachokiandika.
Wewe ndiye mzoga unaandika vitu hata huvifahamu maskini ya Mungu!.Umelitembeza sana hili kwa muda mrefu sana; kiasi kwamba unajiona kuwa wewe ndiye mwenye ukweli.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga atamzidi vipi kimamlaka waziri wa Mambo ya nje; popote pale duniani?
Unachoweza kusema na kuaminika; ni kuwa Hamza Johari alitumia u-Zanzibar wake, na kuupeleka kwa mzanzibar mwenzake. Hili litaeleweka.
Nimeamua nikujibu hivi kwa staha mara moja hii; kwa sababu umeendeleza upotoshaji usiokuwa na msingi wowote
Vinginevyo, wewe unabaki tu kuwa ni MZOGA ule ule unaosubiri kuchomwa moto au kufukiwa amoja na GENGE zima la Samia Suluhu Hassan..
Hata akiwa ni mmakonde; lakini mimi najuwa ni mzanzibari. Na ni mmoja wa kundi la GENGE la Samia Suluhu Hassan.Wewe ndiye mzoga unaandika vitu hata huvifahamu maskini ya Mungu!.
Hamza ni mmakonde wa Mtwara Mjini sio mzanzibari, punguza uzushi usipende kujitutumua wakati huna uhakika na kile unachokiandika.
Mamlaka ya anga ni sekta ipo chini ya waziri wa mawasiliano na uchukuzi, huyo Makamba alitoa maamuzi kwa kuamua kuwasiliana na waziri mwenzake wa Kenya ili kupata utatuzi wa masuala ya migomo ya mashirika ya ndege ya nchi mbili hizi. alikosea kwani hiyo ni kazi iliyotakiwa ifanywe na waziri wa mawasiliano sio yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo.
Bado unarukaruka, unaongea mambo mepesi mno eti ujana mwingi(ndio nini hiki) kama kashfa hizo ulizozitoa zimejaa Kwa viongozi wengi na zaidi na bado wapo. Aliyemuondoa anajua sababu yenyewe.Habari za ndani zinadai ni fisadi wa miaka mingi, anapenda maisha ya kwenye sinema ya kujikweza.
Pia anazo tabia za kiujana wakati keshafikisha miaka 50, kuchora katuni ya kumkashifu hayati JPM lilikuwa ni kosa la kijinga lakini lenye picha mbaya kwake kwenye suala zima la maadili.
Lilipokuja suala la kuingilia taasisi nyingine ambayo ipo chini ya wizara ya mawasiliano na uchukuzi wakati yeye akiwa waziri wa mambo ya nje ilikuwa sababu iliyomkera Samia kipindi kile lakini akaamua kumvutia muda ndio akamuondoa kwenye wizara ya mambo ya nje nafasi akaichukua Kombo.
Kuondolewa kwenye ubunge ni ujumbe mpana wenye kumhusu mheshimiwa kwamba hulka zake hazijakaa vizuri.
Tafuta elimu mkuu Kalamu, ni suala la wizara ya uchukuzi ambayo sekta ya anga ipo chini yake sio suala la wizara ya mambo ya nje.Hata akiwa ni mmakonde; lakini mimi najuwa ni mzanzibari. Na ni mmoja wa kundi la GENGE la Samia Suluhu Hassan.
Kwa hiyo awe mmakonde au la haileti tofauti yoyote.
Hilo la Waziri wa Mambo ya Nje, kuwasiliana na Waziri wa Mambo ya Nje mwenzake litakuwa kosa kwa misingi gani?
Wewe hujui hata umeandika kitu gani. Makamba aliingilia suala la sekta ya anga ambalo lipo chini ya wizara ya uchukuzi.Bado unarukaruka, unaongea mambo mepesi mno eti ujana mwingi(ndio nini hiki) kama kashfa hizo ulizozitoa zimejaa Kwa viongozi wengi na zaidi na bado wapo. Aliyemuondoa anajua sababu yenyewe.
Sababu ulizozitoa hazi make sense at all. Hazishawishi thereb is something hidden.
You don't know that you don't know
Kikwete kumnyima Lowassa kugombea ndio kumeirudisha nchi nyuma sana.Mkuu Steven Joel Ntamusano ukweli ni kuwa sasa hivi familia mbili hizi za wastaafu Yusufu Makamba na Jakaya Kikwete haziivi tena kama zamani na hata January kupigwa chini kwenye uwaziri ilikuwa handwork ya JK ili kumsafishia njia mwanawe Ridhwani ya Urais wa JMT siku za usoni na January ndiye alionekana kikwazo. Na hata anguko la pili la January kufyekwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimboni kwake Bumbuli JK katia mkono pia, licha ya ukweli kuwa wapiga kura wa Bumbuli wamemchoka January lakini kwa kawaida ya CCM kama mtu ana mkubwa wa kumshika mkono kama ilivyokuwa awali kwa January hata kama wananchi wakimkataa angepitishwa tu na mamlaka za juu.JK ni mzee wa fitna sana na hana rafiki wa kudumu linapokuja maslahi ya familia yake mfano halisi ni alivyomchijia baharini swahiba wake Lowassa ili kumsafishia njia nduguye Bernard Membe.
Mimi simpendi yule kizee sijui kinajionaga naniHuyu mzee ni mshenzi na shetani mkubwa, mwasisi wa huu mfumo mbovu wa laana wa kuumiza watu akijua atakuwa salama yeye na familia yake kwenye mfumo maisha yao yote, pumbavu sn sijui anasubiri ni nini kufa?
Atakufa kifo kibaya snMimi simpendi yule kizee sijui kinajionaga nani
Mambo yoyote yahusuyo maswala ya nje huwezi kumweka pembeni waziri husika. Hili nalo unataka kung'ang'ania kama ilivyo kawaida yako?Tafuta elimu mkuu Kalamu, ni suala la wizara ya uchukuzi ambayo sekta ya anga ipo chini yake sio suala la wizara ya mambo ya nje.
Hamza aliingizwa serikalini na hayati JPM, uwezo wake wa kazi ukamfanya Samia ampe nafasi ya mwanasheria mkuu.
Hujui kitu kaka, zipo mamlaka zinazokuwa chini ya wizara husika.Mambo yoyote yahusuyo maswala ya nje huwezi kumweka pembeni waziri husika. Hili nalo unataka kung'ang'ania kama ilivyo kawaida yako?
Hilo swala la huyo Hamza na Mzoga wewe najuwa linakuhusu sana binafdsi; na ndiyo maana nakutambua wewe kuwa kiungo muhimu katika hilo GENGE la Samia linalosumbua taifa hili kwa sasa.