GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe ndiye mzoga unaandika vitu hata huvifahamu maskini ya Mungu!.

Hamza ni mmakonde wa Mtwara Mjini sio mzanzibari, punguza uzushi usipende kujitutumua wakati huna uhakika na kile unachokiandika.

Mamlaka ya anga ni sekta ipo chini ya waziri wa mawasiliano na uchukuzi, huyo Makamba alitoa maamuzi kwa kuamua kuwasiliana na waziri mwenzake wa Kenya ili kupata utatuzi wa masuala ya migomo ya mashirika ya ndege ya nchi mbili hizi. alikosea kwani hiyo ni kazi iliyotakiwa ifanywe na waziri wa mawasiliano sio yeye kwa nafasi aliyokuwa nayo.
 
Hata akiwa ni mmakonde; lakini mimi najuwa ni mzanzibari. Na ni mmoja wa kundi la GENGE la Samia Suluhu Hassan.

Kwa hiyo awe mmakonde au la haileti tofauti yoyote.

Hilo la Waziri wa Mambo ya Nje, kuwasiliana na Waziri wa Mambo ya Nje mwenzake litakuwa kosa kwa misingi gani?
 
Bado unarukaruka, unaongea mambo mepesi mno eti ujana mwingi(ndio nini hiki) kama kashfa hizo ulizozitoa zimejaa Kwa viongozi wengi na zaidi na bado wapo. Aliyemuondoa anajua sababu yenyewe.

Sababu ulizozitoa hazi make sense at all. Hazishawishi thereb is something hidden.

You don't know that you don't know
 
Tafuta elimu mkuu Kalamu, ni suala la wizara ya uchukuzi ambayo sekta ya anga ipo chini yake sio suala la wizara ya mambo ya nje.

Hamza aliingizwa serikalini na hayati JPM, uwezo wake wa kazi ukamfanya Samia ampe nafasi ya mwanasheria mkuu.
 
Wewe hujui hata umeandika kitu gani. Makamba aliingilia suala la sekta ya anga ambalo lipo chini ya wizara ya uchukuzi.
 
Kikwete kumnyima Lowassa kugombea ndio kumeirudisha nchi nyuma sana.
 
Hivi kosa la kamat kuu ni lipi? Sote tumekubaliana jamaa hakubaliki Bumbuli sasa kwann iwe headline yeye kukatwa? Na ubunge si dhamana kwanini awe yy kila sku? Yeye akafie mbele asubiri teuzi akikosa atakua anajipanga kwa 2030 ambapo ndo ndoto yake ambayo natamani isitimie though the guy kwa nje ni smart ila kiutendaji ni sifuri kabsa na mla rushwa tu. Mmeona ile drama aliocheza jana kwa kufanya ety waandishi wamemvamia na akawa anajibu kwa composure na busara zaidi pale kageuza kushindwa kua fursa. Jamaa sio mzembe kiivyo japo ni mwizi. Huyo ndo Barack Obama Kipara wa Tz
 
Tafuta elimu mkuu Kalamu, ni suala la wizara ya uchukuzi ambayo sekta ya anga ipo chini yake sio suala la wizara ya mambo ya nje.

Hamza aliingizwa serikalini na hayati JPM, uwezo wake wa kazi ukamfanya Samia ampe nafasi ya mwanasheria mkuu.
Mambo yoyote yahusuyo maswala ya nje huwezi kumweka pembeni waziri husika. Hili nalo unataka kung'ang'ania kama ilivyo kawaida yako?
Hilo swala la huyo Hamza na Mzoga wewe najuwa linakuhusu sana binafdsi; na ndiyo maana nakutambua wewe kuwa kiungo muhimu katika hilo GENGE la Samia linalosumbua taifa hili kwa sasa.
 
Hujui kitu kaka, zipo mamlaka zinazokuwa chini ya wizara husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…