The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,
Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.
You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate numbers mpaka leo badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.
Nafikiri mmenielewa.