Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Nakumbuka threads za kumuhusu.. ila watu hamna simile.. nilipita kwa kusoma tu mengi.

Natumaini sasa yupo anaendelea vizuri na maisha na sasa labda atakuwa aliendelea na masomo na kumaliza salama. Hata sasa labda ana mume na watoto..

Ila duh utafikiri hata alijulikana bali watu mlimchambua haswaaa..

Hivi mliomcheka yenu na watu wenu yaliendaje baada?
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
😂😂Una roho ngumu
 
Aliyeanzisha utaratibu wa Namba ni Kighoma Malima aliyekuwa waziri wa Elimu Wakati wa Nyerere kijana,

Maisha ya siku hizi elimu sio inshu sana mtu unasoma muda mrefu halafu unabaki kusubiri huruma ya kuajiriwa,elimu ni muhimu kutoa ujinga,ila huyo mtoto wa Kikwete alipata four ndio uwezo wake,na hakubebwa KWA sababu ni mtoto wa raisi,leo hii Naamini huwezi kumlinganisha kimaisha na wenzake waliopata divisheni one yupo zake sehemu nzuri anakula life bila presha.
Malima alikua Waziri wa elimu kipindi Cha mwinyi,kipindi Cha Nyerere mpaka padri alikuwa Waziri wa elimu,hiyo wizara ilikua haramu kwa muislam,hata hivyo malima hakukaa Sana hapo elimu,kelele zilikua nyingi akatolewa,rais wa pili muislam alipoingia aliwekw Waziri wa elimu muislam kwa kipindi chake chote
 
Haya matokeo ndiyo inaonesha picha na hali halisi kwa taifa wapi lilipo

Haya tuendeleeee kukata maunoooo

Ova
Uswahilini wazazi ndo chanzo cha Elimu mbovu.
Watoto hawaelewi
 
Acha kupindisha ukweli Mzee.
Mwanaasha ndo alileta yote haya.

Ilikuwa aibu kubwa sana Kwa Mzee kipindi hicho, watu tulicheka sana
Enzi hizo nipo u boyzn vijijini huko tunapokea taarifa ya mtoto wa Rais kupata 4 ilikua mada nzito sana
 
Kwa hiyo kuna mpuuzi ameleta uamuzi mpya wa kutokutaja top ten ya shule zilizofanya vizuri na mwanafunzi bora kitaifa ili kuficha udhaifu mahali fulani?

Kwa hili baraza limechemka vibaya, ina maana hata kuwamotisha wale wafunzi tatu bora kwenye mitihani ya mihula ni nongwa kwa mtazamo huu?

Kwanza utaratibu wa kutoa matokea kwa namba ni wa kijinga sana. Yaani mtu mmoja alete mawazo yake ya kijinga kisha yakubaliwe na baraza kuwa ndiyo utaratibu muafaka? Hapana hii haitakubalika
Mkuu hujui tu namba ni nzuri kuficha wasahihishaji kutumia mianya ya kuwajua watu muulize mtoa Uzi a
2017 ulikua form 2
😂Dah
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
Nchi hii haiwezekani wallah....
 
Mtoa mada najua unamchukia Kikwete na samia bila shaka lakini usiwe muongo na mzushi.....sababu iliyopelekea kuacha kutumia majina ni kuiepuka taharuki ambayo ilianza kutokea ya watu kukimbilia kuangalia majina ya mwanafunzi na kuyahusisha na imani yake. Jambo hili lilianza kuchukua mkondo tofauti na hatimaye serikali ikaja na mbinu hiyo.
Mimi bado nilikuwa natafakari hii post ILA kumuingiza Muheshimiwa Samia, nakushauri uirekebishe posti yako kwani inatuletea udini. Samia hakuwa kwenye uongozi (2005-2015). Lakini pia Uliyemdhania Muh Kikwete, sio rais wa kwanza muislam Tanzania.
Lakini pia; Kiongozi aliyetajwa sio lazima awe Rais, Pengine alikuwa waziri?
Wewe ungetoa majibu uliyotoa kama unahakika nayo ila kutaja taja majina ya waheshimiwa sio sawa kabisa
Ni mtazamo wangu tu!
 
Kwa hiyo kuna mpuuzi ameleta uamuzi mpya wa kutokutaja top ten ya shule zilizofanya vizuri na mwanafunzi bora kitaifa ili kuficha udhaifu mahali fulani?

Kwa hili baraza limechemka vibaya, ina maana hata kuwamotisha wale wafunzi tatu bora kwenye mitihani ya mihula ni nongwa kwa mtazamo huu?

Kwanza utaratibu wa kutoa matokea kwa namba ni wa kijinga sana. Yaani mtu mmoja alete mawazo yake ya kijinga kisha yakubaliwe na baraza kuwa ndiyo utaratibu muafaka? Hapana hii haitakubalika
Watamotishwa kimya kimya na vyeti watapewa.
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
Hahaa
 
Aliyeanzisha utaratibu wa Namba ni Kighoma Malima aliyekuwa waziri wa Elimu Wakati wa Nyerere kijana,

Maisha ya siku hizi elimu sio inshu sana mtu unasoma muda mrefu halafu unabaki kusubiri huruma ya kuajiriwa,elimu ni muhimu kutoa ujinga,ila huyo mtoto wa Kikwete alipata four ndio uwezo wake,na hakubebwa KWA sababu ni mtoto wa raisi,leo hii Naamini huwezi kumlinganisha kimaisha na wenzake waliopata divisheni one yupo zake sehemu nzuri anakula life bila presha.
Ni sahih kbsa Tena kukwet angetokeza hadharani kuwashukuru Baraza kwa kitendo Cha kuwa wakweli Bila kumbeba beba Safi jk wee Ni master mind

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha kupindisha ukweli Mzee.
Mwanaasha ndo alileta yote haya.

Ilikuwa aibu kubwa sana Kwa Mzee kipindi hicho, watu tulicheka sana
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
 
Aliyeanzisha utaratibu wa Namba ni Kighoma Malima aliyekuwa waziri wa Elimu Wakati wa Nyerere kijana,

Maisha ya siku hizi elimu sio inshu sana mtu unasoma muda mrefu halafu unabaki kusubiri huruma ya kuajiriwa,elimu ni muhimu kutoa ujinga,ila huyo mtoto wa Kikwete alipata four ndio uwezo wake,na hakubebwa KWA sababu ni mtoto wa raisi,leo hii Naamini huwezi kumlinganisha kimaisha na wenzake waliopata divisheni one yupo zake sehemu nzuri anakula life bila presha.
Jamaa kazungumzia utangazaji matokeo. Elewa nada.
 
Back
Top Bottom