Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Mtoa mada najua unamchukia Kikwete na samia bila shaka lakini usiwe muongo na mzushi.....sababu iliyopelekea kuacha kutumia majina ni kuiepuka taharuki ambayo ilianza kutokea ya watu kukimbilia kuangalia majina ya mwanafunzi na kuyahusisha na imani yake. Jambo hili lilianza kuchukua mkondo tofauti na hatimaye serikali ikaja na mbinu hiyo.
Sasa umesamaje hapa???
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
Mbona suala la kutumia namba lilianza zamani wakati waziri WA ELIMU akiwa mheshimiwa KIGOMA ALLY MALIMA.! Au mm ndo Huwa sifuatilii Siasa za hapa MZIZIMA?
 
Mbona suala la kutumia namba lilianza zamani wakati waziri WA ELIMU akiwa mheshimiwa KIGOMA ALLY MALIMA.! Au mm ndo Huwa sifuatilii Sasa za hapa MZIZIMA?
Mkuu kulikwa na candidate number then jina la mtahiniwa , Namba ilikuja kwa sabau kuna majina yalikuwa yana fanana fanana hasa ya waislamu.

Binti wa kigogo alipoboronga mwaka uliofuata majina yakatolewa kabisa ikabaki candidate number tu, kumbuka utaratibu wa kutumia jina la mwanafunzi ndo wa siku nyingi candidate number ilikuwa ni maboresho tu kupunguza mkanganyiko wa majina.

That is why kulikuwa na number ya mtihani na jina kwenye Matokeo, ila vigogo wakaamua kuficha aibu zao maana utakuta mtoto kataga afu anapata nafasi nzuri serikalini, so wamepunguza maswali mengi watoto wao wanapopata nafasi.
 
Vipi huyo aliepata 4 leo yupo wapi.
Maisha yake na yako yanaendana
Unamiliki miradi anayomiliki dogo janja.
Una connection alizonazo dogo.

Nimekuelewa kwamba ulitaka tujue ilikuaje ikaanzishwa mfumo wa namba ila umejiuliza hayo mengine.

No hard feelings.
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
nakumbuka vizuri hili tukio.

sisi watu wa kamati ya roho mbaya tunataka kujua maisha yake ya sasa pamoja na kufeli kwake form four. vp anapitia msoto?.
 
nakumbuka vizuri hili tukio.

sisi watu wa kamati ya roho mbaya tunataka kujua maisha yake ya sasa pamoja na kufeli kwake form four. vp anapitia msoto?.
Msoto tena🤣🤣🤣🤣 hiyo kusoma tu uskute ni kama adhabu kwake.
Huenda alipelekwa Ughaibuni kutoa stress.
 
Hata mi
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Hats mi nashindwa kuamini hivi huyo alietoa matokeo aliendelea na kazi kweli!!
 
Back
Top Bottom