Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

ila huu msala wa majina umewakuta watoto wa vigogo wengi nakumbuka hata Jesca Magu nae kama sikosei yalimkuta, baada ya mshua kuwaita baadhi ya waliodahiliwa kwa miaka ile UDOM kuwa ni vilaza(ni kweli hawakuwa na sifa) raia wakajibu kwa kutoa matokeo yake ambayo hayakuwa mazuri kivile
 
Div 4 point 26 amefeli???

Yule wa Div 4 ya 30 pale St Matthew anawekwa Kundi gani???
 
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Utampaje point nane kwenyw mitian amejaza utumbo, inavyoonekana hata angelepewa majibu akalili bado angepata zero.
 
2016 sio namkumbuka vizuri tena kipindi hicho matokeo yanatoka.

Nipo form 2 naanza anza 2017 February hapo daaah skendo ilivuma from dar to chuga just imagine mazeee div 4 ya kwanza feza girls daaah ni aibu demu mwenyewe alikuwa anachukua arts si sayansi au business ila ndo hivyo sasa Mungu hawezi kupa kila kitu ila saizi anamaisha mazuri [emoji1787]
Ilikuwa 2011 ndio mwaka wa mwisho matokeo kutoka na majina !!
 
Linganisha maisha yake ya Leo na Yako.Wabongo vizabizabina.
 
Mtoa mada najua unamchukia Kikwete na samia bila shaka lakini usiwe muongo na mzushi.....sababu iliyopelekea kuacha kutumia majina ni kuiepuka taharuki ambayo ilianza kutokea ya watu kukimbilia kuangalia majina ya mwanafunzi na kuyahusisha na imani yake. Jambo hili lilianza kuchukua mkondo tofauti na hatimaye serikali ikaja na mbinu hiyo.
Upo sahihi kabisa chief,kulikuwa na sintofahamu Fulani kuhusiana na ubaguzi WA kidini
 
Kwa hiyo kuna mpuuzi ameleta uamuzi mpya wa kutokutaja top ten ya shule zilizofanya vizuri na mwanafunzi bora kitaifa ili kuficha udhaifu mahali fulani? [/i]

Yapi ili kuficha aibu ya mahala flani. Katika hili hakuna ubishi. Sikiliza na kungalia video hii Kutoka You Tube. [emoji116][emoji116]



Hiyo ni hotuba aliyokuwa akiitoa huko Zanzibar miezi nane iliyopita (yaani Mwaka 2022) ktk ufunguzi wa shule.

Yaani mtu mmoja alete mawazo yake ya kijinga kisha yakubaliwe na baraza kuwa ndiyo utaratibu muafaka? Hapana hii haitakubalika
Mawazo ameleta mtu mmoja Ili kuficha aibu ya nyumbani na Shule zote za kata - Tanzania.

Elimu ya Tanzania Siasa ndiyo inayomua mambo ya Elimu, na si Elimu inayoamua mambo ya Siasa[/i][/i]
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
Sio kweli, matukio ya mtoto huyo unayosema yakitoka baada ya namba kutumika

Sasa ngoja nikwambie Kwanini namba zilianza kutumika badala ya majina

Kama ulikuwapo Tanzania miaka ya 2008,09,10 hadi 12 utakumbuka kulikuwa na vuguvugu la udini. Kuna dhehebu jipya la kiislamu Liliingia Liliingia kwa kasi na moja ya mbinu waliyotumia kupata waumini ni kuanzisha redio na kuanza kutoa mawaidha ya kusema kuwa nchi inaongozwa na mfumo Kristo.

Eti ma kanisa yamejipanga kufanya tanzania kuwa nchi ya kkrsto na Wali hakikisha wanafeslisha waislamu.

Malalamiko y alikuwa mengi ndio NECTA wakaona isiwe tabú wa kasema haya basi tutumie namba
 
Sio kweli, matukio ya mtoto huyo unayosema yakitoka baada ya namba kutumika

Sasa ngoja nikwambie Kwanini namba zilianza kutumika badala ya majina

Kama ulikuwapo Tanzania miaka ya 2008,09,10 hadi 12 utakumbuka kulikuwa na vuguvugu la udini. Kuna dhehebu jipya la kiislamu Liliingia Liliingia kwa kasi na moja ya mbinu waliyotumia kupata waumini ni kuanzisha redio na kuanza kutoa mawaidha ya kusema kuwa nchi inaongozwa na mfumo Kristo.

Eti ma kanisa yamejipanga kufanya tanzania kuwa nchi ya kkrsto na Wali hakikisha wanafeslisha waislamu.

Malalamiko y alikuwa mengi ndio NECTA wakaona isiwe tabú wa kasema haya basi tutumie namba
unapotumia namba kutangaza matokea ya mtihani bila kuweka jina kuna uhusiano upi na kufelisha wakatii mtihani umeshasahihishwa.
 
Huyo hapo, number 25
Oya huyu dogo katupindishia sheria sana si tuliosoma nae mwaka mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]darasa la nne kurudia kulifutwa,darasa la saba kukawa kuna second selection mpaka awamu ya tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]form two kurudia kukafutwa,form four kulikua na div four mpaka 40[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom