Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

ila huu msala wa majina umewakuta watoto wa vigogo wengi nakumbuka hata Jesca Magu nae kama sikosei yalimkuta, baada ya mshua kuwaita baadhi ya waliodahiliwa kwa miaka ile UDOM kuwa ni vilaza(ni kweli hawakuwa na sifa) raia wakajibu kwa kutoa matokeo yake ambayo hayakuwa mazuri kivile
Huyo enzi ya dingi yake alikula shavu la ukurugenzi nahisi

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mfanyabiashara kkoo ana 1 ya 13 o level 1 ya 6 egm first class chuo anaingiza mil 13 daily usikariri kwamba kila toto linalofaulu darasani linaajiriwa fala ww fungua ubongo upate exposure
Upo sahihi mheshimiwa. Lakini sijasema kuwa kila aliyetajiri hajasoma. Ujumbe wangu upo wazi kabisa na nitarudia - Si kuwa na isiwe kanuni kuwa ukifeli masomo ndio umefeli maisha. Tafsiri ya kufanikiwa katika maisha ni pana kuliko kujikita tu katika kufaulu masomo darasani.
 
Matokeo yetu ya 2007 ya form four na 2010 ya form six yakiltoka na majina
Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,

Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate numbers mpaka leo badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
 
Lakino bora sana hii ya kutumia namba badala ya majina ya watu, hata watoto wana haki ya taarifa zao kutukusambazwa hovyo, kumuonyesha mtu aliefeli siyo dili wala haina maana yeyote, acha sasa taarifa zao zilindwe, namba zibaki kuwa siri ya wizara ya elimu, mwanafunzi
 
Back
Top Bottom