Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Aliokoa sana Jahazi darasa la saba mpaka mwenye piont 90 alienda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 2012 walipanga matokeo kwa njia ya B.R.N kwenye mwaka wetu wakafuta wakatuwekea div four mpaka 40[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah kusoma na watoto wa wakubwa raha sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
2012 std 7, hadi wenye 70 walienda 4m 1 2013.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
Leo hii anafanya kazi wapi?
 
2016 sio namkumbuka vizuri tena kipindi hicho matokeo yanatoka.

Nipo form 2 naanza anza 2017 February hapo daaah skendo ilivuma from dar to chuga just imagine mazeee div 4 ya kwanza feza girls daaah ni aibu demu mwenyewe alikuwa anachukua arts si sayansi au business ila ndo hivyo sasa Mungu hawezi kupa kila kitu ila saizi anamaisha mazuri 🤣
Mkuu huyo ni Mwanaisha...ilikua mwaka 2011 na ndio mwaka niliomaliza pia form 4.....Sio 2016
 
Sema ukiwa na one inaleta Furaha tuache kujifariji. Pesa kila Mtu anazo hata Kama Ni ndogo.

Kupata four ni Aibu kubwa Sana kwa Mtu makini mwenye Kujitambua na kujithamini.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tena Fedha girls.

Kuna yule wa Mwendazake alioata zero kabisa ila akawa anasoma Udom [emoji1787][emoji1787]
Tuwekee matokeo ya Jesca!

Jesca alikua na four, akasoma chuo cha magogoni pale certificate then akaenda kusoma UDOM, sasa hivi yupo REA anapiga kazi! Acha uongo hakuwa na zero
 
Malima alikua Waziri wa elimu kipindi Cha mwinyi,kipindi Cha Nyerere mpaka padri alikuwa Waziri wa elimu,hiyo wizara ilikua haramu kwa muislam,hata hivyo malima hakukaa Sana hapo elimu,kelele zilikua nyingi akatolewa,rais wa pili muislam alipoingia aliwekw Waziri wa elimu muislam kwa kipindi chake chote
Padri nani alikuwa Waziri wa Elimu enzi za Nyerere???
 
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Kipi kilimtoa Ndalichako pale NECTA labda???
 
Kipi kilimtoa Ndalichako pale NECTA labda???
Nawe tuambie kwanza kipi kilimpeleka pale NECTA? Ukimaliza hilo tuambie ni kivipi yeye alitakiwa awe wa milele pale.
Kwahiyo kilichomtoa ni kufeli kwa huyo 'mtoto wa kikwete'? Watu hivyo vichwa hamna kazi navyo ee?!!!

Kipindi kile cdm imepamba moto jk alikuwa anazushiwa kila kitu na kila uzushi ulikuwa unavuma balaa.
 
2016 sio namkumbuka vizuri tena kipindi hicho matokeo yanatoka.

Nipo form 2 naanza anza 2017 February hapo daaah skendo ilivuma from dar to chuga just imagine mazeee div 4 ya kwanza feza girls daaah ni aibu demu mwenyewe alikuwa anachukua arts si sayansi au business ila ndo hivyo sasa Mungu hawezi kupa kila kitu ila saizi anamaisha mazuri 🤣
Msiwe na dhana mbovu, kuwa ukifeli masomo darasani ndio umefeli maisha.

Wanyalukolo wengi Kariakoo hata zero ya kidato cha 4 hawana, lakini wanaweza kukuajiri na div 1 yako ya six.
 
Back
Top Bottom