Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Aliyeanzisha utaratibu wa Namba ni Kighoma Malima aliyekuwa waziri wa Elimu Wakati wa Nyerere kijana,

Maisha ya siku hizi elimu sio inshu sana mtu unasoma muda mrefu halafu unabaki kusubiri huruma ya kuajiriwa,elimu ni muhimu kutoa ujinga,ila huyo mtoto wa Kikwete alipata four ndio uwezo wake,na hakubebwa KWA sababu ni mtoto wa raisi,leo hii Naamini huwezi kumlinganisha kimaisha na wenzake waliopata divisheni one yupo zake sehemu nzuri anakula life bila presha.
 
Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.

Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.

You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.

Nafikiri mmenielewa.
Hata Sasa ndicho kimetokea plus dini
 
Back
Top Bottom