mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Nakumbuka threads za kumuhusu.. ila watu hamna simile.. nilipita kwa kusoma tu mengi.
Natumaini sasa yupo anaendelea vizuri na maisha na sasa labda atakuwa aliendelea na masomo na kumaliza salama. Hata sasa labda ana mume na watoto..
Ila duh utafikiri hata alijulikana bali watu mlimchambua haswaaa..
Hivi mliomcheka yenu na watu wenu yaliendaje baada?
😂😂Una roho ngumuBack those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.
You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.
Nafikiri mmenielewa.